TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

R.I.H
 
Pole Lucas,poleni wote,ila alitimiza wajibu wake kuwapeni fomu ila hata shuhudia sarakasi zenu za kampeni na chafuzi.Aendako awaombee mbadilike.Pia ni vyema ukajitambulisha uenezi wako ni wa ngazi ipi?
 
Bado wewe ***** Lucas Mwashambwa
 
MAmbo ya ushirikina hayo kipindi hiki cha uchaguzi, kambi za wagombea zinawatesa sana
 
Pole Lucas,poleni wote,ila alitimiza wajibu wake kuwapeni fomu ila hata shuhudia sarakasi zenu za kampeni na chafuzi.Aendako awaombee mbadilike.Pia ni vyema ukajitambulisha uenezi wako ni wa ngazi ipi?
CCM inaongozwa kwa kufuata na kuzingatia misingi ya sheria ,katiba ,kanuni na miongozo mbalimbali ya chama
 
Kama hakusema neno au alifurahi alipotekwa mdude basi sina cha kusikitika zaidi ya kumtakia safari njema!
 
tafuteni bwawa lenye mamba hapo karibu muwatupie wale wanenepe
 
Ukiona watu wanasherehekea kifo sio dalili njema hata kidogo.
 
Ukiona watu wanasherehekea kifo sio dalili njema hata kidogo.
Kuna watu wanafikiria hii nchi ni mali yao kwamba ukiwa na mawazo tofauti wewe ni Haini!
Watu wetu wanauwawa tukiwauliza wanatujibu kwa dharau
 
Mungu anazidi kutukumbusha tulio hai kuwa kila mtu atakufa hata kama leo una uwezo wa kuteka na kuwaua binadamu wenzako kama kuku, au kuwafunga na kuwabambikia kesi za uwongo. Hakuna wa kukizuia kifo kikifika hata kama utakuwa na wasiojulikana wangapi.

Tuishi kwa kuitafuta haki, kwani ndiyo njia pekee inayotuhakikisha kupita kwenye njia yake aliye wa haki, aliyesema, "Mimi ndimi njia, mtu hafiki kwa Baba bila ya Mimi".

Pole sana wanafamilia. Lakini angalao hao wanauona mwili wa mwanafamilia wao. Familia ya Mdude, Soka, na wengine wengi hawajawahi hata kuiona miili ya wapendwa wao.

CCM ni shetani anayewapumbaza watu hata wakasahau kuwa juu ya kila kitu kuna Mungu wa haki, ambaye maamuzi yake hakuna wa kuyazuia.

'Amri mpya nawapa, MPENDANE'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…