The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Wewe utakufa lini?Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.View attachment 3396166
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
Mwendo ameumaliza. Pumzika kwa amani mzee wetu
loh salaaale!Mungu chukua na mwenyekiti wao
Kumbe na nyie ccm mnakufaga nikadhani ni upinzani tuHata wewe utakufa tu tena utakufa vibaya sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu mmevurugwa sio kidogoNinyi mfe tu kwa wingi, shetani pokea huyo wakala wako. Chukua na kizimkazi manyonyo makubwa kaenda Comoro leo chukulia huko huko lisirudi hapa.
Ninachokuhakikishia ni kwamba HAWEZI KUPUMZIKA KWA AMANI. Hivyo umejichosha bure kumtakia pumziko la amani ambalo halipo.Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.View attachment 3396166
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.🥺🥺🥺Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.View attachment 3396166
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 AiseAlikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.🥺🥺🥺
Tena yatamalizanaCCM mshaanza kurogana eee
Si ajabu amelazimishwa...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aise
ni hatari mkuu unadhani ni ya kucheka! tunakoelekea si kzr🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu mmevurugwa sio kidogo