TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

Kifo ni kifo Tu, sasa unatwambia Sisi tufanyeje?
Mwache akaoze huko, nyie mbona manual sana na mkiambiwa haya mambo hayafai, mnajibu kwa kejeli na dharau!

Kumbe na nyinyi mnakufa?
 
"kifo Cha ghafula"RIP comrade!

KAZI na utu tunasonga mbele!

October tunatick!!
 
Makiwa kwa wafiwa
 
Kama ndiyo huyu, basi alikuwa Mbwiga kweli. Rest in peace Katibu wetu wa ccm.
 
Pole ndugu lucas wakati huu endelea kububujikwa na machozi.
Poleni kwa msiba mzito kama ulivotuhabarisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…