Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa

Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, Arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa CCM uchaguzi huu.
Chama cha majambazi na mafisadi wanataka kuifanya Arusha kuwa himaya yao?
 
Salary Slip,

Tatizo kubwa la CHADEMA ndiyo hili wanapenda mno Kukimbilia pale Mtu alipoangukia ila hawataki kabisa Kujiibidisha ili kujua pia amejikwaa wapi.
 
He was nursing his wife!
Bwana mdogo naona aliamua kufuata tabia za viongozi wetu wa Kiafrika kukimbilia Ulaya na Marekani kimatibabu. Eti wife anaenda kuzalia US! Ndio akafanya blunder mpaka akatemeshwa Ubunge! Hiyo ilikuwa stupid move.
 
Ehe harafu ikawaje baada ya ujumbe kumfikia, ? Uwe unaleta abari kamili sio vipande
 
Unaizungumzia Arusha ipi jombaaa? Sisi wana Arusha kura zetu zote za NDIO ni kwa CHADEMA.
Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa

Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa ccm uchaguzi huu.
 
Huko aliko anaweza akapewa unaibu waziri, ukuu wa wilaya, u ofisa tawala wa wilaya au mkoa... by the way mavyeo ni mengi sana tu.
 
Bwana mdogo naona aliamua kufuata tabia za viongozi wetu wa Kiafrika kukimbilia Ulaya na Marekani kimatibabu. Eti wife anaenda kuzalia US! Ndio akafanya blunder mpaka akatemeshwa Ubunge! Hiyo ilikuwa stupid move.
If at all he did not seek leave from his party and Bunge to go to the US, then that was a blunder. But I am not convinced that he was that much ignorant of procedures to act the way he acted! There is /was something behind his move!
 
cheap politics . ..sasa hivi mnatapatapa

nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa ccm uchaguzi huu..
Ulitaka wabunge hao wafanye nini? Kazi za mbunge ni nini? Wananchi wanajuta kwani wabunge ni wakusanya kodi?
 
Unaizungumzia Arusha ipi jombaaa? Sisi wana Arusha kura zetu zote za NDIO ni kwa CHADEMA.
unajidanganya mjombaa ...watu wamechoka zunguka pita uongee fanya research yako..unamchagua mtu ambaye anashinda mitandaoni na anafanya ishu zake za kibiashara hana time na nyie halafu apewe tena..hio never ..
 
Back
Top Bottom