Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna kitu alikuwa anafanya inaonekana.nimekupata vema. MSc , then kuuguza.... mkanganyiko!
Kuuguza gia tu.
Which makes it even worse.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu alikuwa anafanya inaonekana.nimekupata vema. MSc , then kuuguza.... mkanganyiko!
.....100%Huyu kijana angepata ubunge wake bila shaka maana alikuwa anafanya kazi na wananchi wake walimpenda ila now asahau ubunge kama hata viti maalumu hatopewa na pande zile
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena.
exactly!Kuna kitu alikuwa anafanya inaonekana.
Kuuguza gia tu.
Which makes it even worse.
unajidanganya mjombaa ...watu wamechoka zunguka pita uongee fanya research yako..unamchagua mtu ambaye anashinda mitandaoni na anafanya ishu zake za kibiashara hana time na nyie halafu apewe tena..hio never ..
Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa
Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa CCM uchaguzi huu.
Meru hawana mpango na CCM, shida iko hapo.Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa
Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa CCM uchaguzi huu.
Kwa hiyo kama Nassari aliandika sms kuulizia hiyo nafasi yake wasiseme kwasababu wanamuogopa au?!Salary Slip,
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Salary Slip,