Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena.

Kuwajadili watu walijiengua kwenu ni kukosa maarifa
Huyo katibu angejielekeza kwenye kupata wagombea bora wa ubunge
 
Mm mke wangu na familia yangu tutamchagua tena.
Wewe na wenzako mchague mnayemtaka.
unajidanganya mjombaa ...watu wamechoka zunguka pita uongee fanya research yako..unamchagua mtu ambaye anashinda mitandaoni na anafanya ishu zake za kibiashara hana time na nyie halafu apewe tena..hio never ..
 
Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa

Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa CCM uchaguzi huu.

Meru hawana mpango na CCM, shida iko hapo.
Sababu zilizo muondoa kwenye ubunge hazina mashiko ni utoto.
Sijui kama Wameru wanataka utoto??
 
Salary Slip,

Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Kwa hiyo kama Nassari aliandika sms kuulizia hiyo nafasi yake wasiseme kwasababu wanamuogopa au?!

wacha mahaba yako ya kitoto.
 
Salary Slip,

Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.

Kwahiyo kama alitaka kuhakikishiwa nafasi ya ubunge wasiseme kwakuwa ataongea 🥤Mwache aongee lakini ukweli usemwe.

Nassari ataongea nini cha maana sana sana alitakiwa kuomba radhi aliyofanya.Kapewa nafasi badala yake kauza kwa style tofauti na wenzake.
 
Back
Top Bottom