Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hakua serious! Hakuandika barua. Kama ninakumbukumbu nzuriNilikuwa sijui, alitelekeza jimbo? Si alikuwa anamuuguza mkewe USA? Basi kwa rating yao asingelipita
Maandishi hayafutiki.. Yaogope sanaSafi Sana...iogope Sana technology!
Chama cha majambazi na mafisadi wanataka kuifanya Arusha kuwa himaya yao?Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa
Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, Arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa CCM uchaguzi huu.
Bwana mdogo naona aliamua kufuata tabia za viongozi wetu wa Kiafrika kukimbilia Ulaya na Marekani kimatibabu. Eti wife anaenda kuzalia US! Ndio akafanya blunder mpaka akatemeshwa Ubunge! Hiyo ilikuwa stupid move.He was nursing his wife!
Bila shaka yoyote ileAhaa kwa hiyo huko alikoenda aliahidiwa
Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa
Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa ccm uchaguzi huu.
Mungu amtunze Majaliwa Kassim Majaliwa. Atakapomalizia John Pombe Magufuli yeye apokeeMwigulu for presidency 2025
If at all he did not seek leave from his party and Bunge to go to the US, then that was a blunder. But I am not convinced that he was that much ignorant of procedures to act the way he acted! There is /was something behind his move!Bwana mdogo naona aliamua kufuata tabia za viongozi wetu wa Kiafrika kukimbilia Ulaya na Marekani kimatibabu. Eti wife anaenda kuzalia US! Ndio akafanya blunder mpaka akatemeshwa Ubunge! Hiyo ilikuwa stupid move.
πππππ Umenifanya nichekeMbona CDM angelipata ubunge tena! He is a god guy ni hizo njaa za kisengelema Mwanza
Ulitaka wabunge hao wafanye nini? Kazi za mbunge ni nini? Wananchi wanajuta kwani wabunge ni wakusanya kodi?cheap politics . ..sasa hivi mnatapatapa
nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa ccm uchaguzi huu..
unajidanganya mjombaa ...watu wamechoka zunguka pita uongee fanya research yako..unamchagua mtu ambaye anashinda mitandaoni na anafanya ishu zake za kibiashara hana time na nyie halafu apewe tena..hio never ..Unaizungumzia Arusha ipi jombaaa? Sisi wana Arusha kura zetu zote za NDIO ni kwa CHADEMA.
Mtapiga sana porojo , arusha inaenda kwa ccm ...wana wa arusha wamechoka na wahuniChama cha majambazi na mafisadi wanataka kuifanya Arusha kuwa himaya yao?
Mwigulu kanda ya ziwa,hatuwezi fululiza,Mwigulu for presidency 2025