Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuriSakata hili ndiyo mjue huko Manispaa na Halmashauri kumejaa watu waliokosa sifa.
Maganga kawaumbua mkurugenzi na mwanasheria wa Manispaa.
Kawaumbua wasaidizi wa mteuzi wa ukuu wa wilaya.
Wanataka kumkomoa wakati hawajui sheria.
Japhet nenda zako kafanye biashara mtaani kwa amani waachie chama lao la waalimu.
Mjini bila salary, ni, majanga matupu, namuelewa Sana bro! We ukiona wabunge na ma waziri wanashikana uchawi kugombania nafasi, hapo ndio ujue utwmu wa maokoto!Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya Msingi Tandika ya Wilayani Temeke, kumezuka maswali iwapo ataendelea kusalia katika uongozi wa CWT au la.
Mwalimu Japheth Maganga ameulizwa kuwa uamuzi wa kumsimamisha kama utamfanya akose sifa ya kuwa Katibu Mkuu wa CWT?
Akijibu maswali ya Waandishi wa Habari, Mwalimu Maganga amenukuu Ibara zilizopo ndani ya Katiba ya CWT akisema yeye ana mkataba wa kudumu wa ajira ya CWT, hivyo ni Mtumishi wa CWT na hata wakati anagombea nafasi aliyonayo hivi sasa alitokea makao makuu ya CWT kama Mhasibu.
Mwalimu Maganga ameendelea kwa kusema kuwa, kwa muujibu wa Katiba ya CWT, Toleo la Mwaka 2014 bado anazo sifa za kuwa Mwanachama wa CWT, hivyo uhalali wa yeye kuendelea na nafasi yake ya sasa hautakoma baada ya kusimamishwa kazi.
"Niliajiriwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kama mhasibu Januari 1, 2018. Niligombea nafasi ya Katibu Mkuu wa CWT nikitokea Idara ya Uhasibu CWT- Makao Makuu na si Halmashauri kama ambavyo wengi wanadhani," anasema.
Mwalimu Maganga ameongeza kuwa, kwa mujibu wa Ktiba ya CWT Toleo la Mwaka 2014 ana haki ya kugombea nafasi ya yoyote ndani ya CWT.
"Kwa mujibu wa Ibara ya 6.4 ya Katiba ya CWT ya Mwaka 2014, mimi ni mwanachama maalum na nina haki ya kugombea nafasi yoyote ndani ya CWT, Ibara ya 30 (e) ya Katiba ya inathibitisha hilo."
Itakumbukwa kupitia mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wa Desemba 16, 2022 ulimthibitisha kuwa Katibu Mkuu wa CWT.
Alipoulizwa kuhusu uhalali wa kisheria wa kuendelea kusalia madarakani kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa CWT anautoa wapi ikiwa tayari ameshasimamishwa kazi, Mwalimu Maganga amesema:
"Nina haki ya kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa CWT kwa mujibu wa Katiba ya CWT Ibara ya 30 (e) Toleo la Mwaka 2014."
Taarifa iliyotolewa Alhamis Desemba 7, 2023 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya imeeleza Mwalimu Maganga amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelekezo halali ya viongozi.
Pia soma
= Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake
= Katibu mkuu CWT asimamishwa, ni yule aliyekataa uteuzi wa Rais Samia
Wewe Kilaza tulia hapo hapo ulipo. Huyo Maganga anaonekana amewazidi akili kutokana na ukilaza wenu! Na ndiyo maana anawaletea jeuri na kuwatunishia msuli.Huyo fala amechanganyikiwa, hicho kinachoitwa mkataba amejitengenezea mwenyewe. Kwanza hana akili hata ya kuazimwa, yaani sisimizi km hilo ni la kushindana na serikali? Hakuna rangi hataona
Serikali Haina udhalimu kwa watu,Lakini serikali nayo iache udhalimu kwa wananchi wake. Kwani kawakosea nini hasa hadi wamtafutie visa?
Hao watu dhalimu ndiyo serikali yenyewe kiongozi.Serikali Haina udhalimu kwa watu,
Watu ndio wadhalimu, wanaotumia serikali vibaya kuwanyanyasa na kuwaonea raia wenzao
Huyo ni mwalimu kasoma ualimu,once a teacher always a teacher ,si Kila mwalimu anafundishaChama cha walimu na wewe sio Mwalimu
Unadhani biashara rahisi eeh, subiri baada ya miaka miwili umuone atakavyochoka, acheni kumpa jeuri mwenzenu apoteeSakata hili ndiyo mjue huko Manispaa na Halmashauri kumejaa watu waliokosa sifa.
Maganga kawaumbua mkurugenzi na mwanasheria wa Manispaa.
Kawaumbua wasaidizi wa mteuzi wa ukuu wa wilaya.
Wanataka kumkomoa wakati hawajui sheria.
Japhet nenda zako kafanye biashara mtaani kwa amani waachie chama lao la waalimu.
Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya Msingi Tandika ya Wilayani Temeke, kumezuka maswali iwapo ataendelea kusalia katika uongozi wa CWT au la.
Mwalimu Japheth Maganga ameulizwa kuwa uamuzi wa kumsimamisha kama utamfanya akose sifa ya kuwa Katibu Mkuu wa CWT?
Akijibu maswali ya Waandishi wa Habari, Mwalimu Maganga amenukuu Ibara zilizopo ndani ya Katiba ya CWT akisema yeye ana mkataba wa kudumu wa ajira ya CWT, hivyo ni Mtumishi wa CWT na hata wakati anagombea nafasi aliyonayo hivi sasa alitokea makao makuu ya CWT kama Mhasibu.
Mwalimu Maganga ameendelea kwa kusema kuwa, kwa muujibu wa Katiba ya CWT, Toleo la Mwaka 2014 bado anazo sifa za kuwa Mwanachama wa CWT, hivyo uhalali wa yeye kuendelea na nafasi yake ya sasa hautakoma baada ya kusimamishwa kazi.
"Niliajiriwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kama mhasibu Januari 1, 2018. Niligombea nafasi ya Katibu Mkuu wa CWT nikitokea Idara ya Uhasibu CWT- Makao Makuu na si Halmashauri kama ambavyo wengi wanadhani," anasema.
Mwalimu Maganga ameongeza kuwa, kwa mujibu wa Ktiba ya CWT Toleo la Mwaka 2014 ana haki ya kugombea nafasi ya yoyote ndani ya CWT.
"Kwa mujibu wa Ibara ya 6.4 ya Katiba ya CWT ya Mwaka 2014, mimi ni mwanachama maalum na nina haki ya kugombea nafasi yoyote ndani ya CWT, Ibara ya 30 (e) ya Katiba ya inathibitisha hilo."
Itakumbukwa kupitia mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wa Desemba 16, 2022 ulimthibitisha kuwa Katibu Mkuu wa CWT.
Alipoulizwa kuhusu uhalali wa kisheria wa kuendelea kusalia madarakani kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa CWT anautoa wapi ikiwa tayari ameshasimamishwa kazi, Mwalimu Maganga amesema:
"Nina haki ya kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa CWT kwa mujibu wa Katiba ya CWT Ibara ya 30 (e) Toleo la Mwaka 2014."
Taarifa iliyotolewa Alhamis Desemba 7, 2023 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya imeeleza Mwalimu Maganga amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelekezo halali ya viongozi.
Pia soma
= Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake
= Katibu mkuu CWT asimamishwa, ni yule aliyekataa uteuzi wa Rais Samia
Acha uoga simamia kile unachokiamini.wacha aandike historia.hata akifa Leo kaburi lake litasema humu amelala aliyekataa uteuzi,humu amelala aliyesimamia msimamo wake..Huyo fala amechanganyikiwa, hicho kinachoitwa mkataba amejitengenezea mwenyewe. Kwanza hana akili hata ya kuazimwa, yaani sisimizi km hilo ni la kushindana na serikali? Hakuna rangi hataona
Kwani katiba ya CWT inasemaje kuhusu nafasi za kugombea za juu ?katibu ndiye mtendaji mkuu?je?katibu anaajiriwa kwa vigezo vipi?je,katibu anaweza kutoka nje ya walimu?Chama cha walimu na wewe sio Mwalimu
Na hipi nyingine mwaisa?Ina maana alikuwa na ajira za kudumu mbili??
Ili uweze kumshinda Maganga yakupasa kurejea kwenye Katiba ya CWT sio porojo kama zako! Kumshinda inabidi ulete Katiba au sheria aliyovunja ila inaonekana mnataka kumfanyia figisu ndiyo maana mnaangaika kupita mipenyoni ili mumuangushe tuKwa akili ya kawaida kabisa ya mtanzania mpiga kura wa kawaida kunaonekana hapo CWT pana asali tamu sana ambayo ukiilamba mara moja tu basi hubanduki,,,alikataa teuzi January,September aliambiwa arudi kazini akakataa,,wamemfukuza kazini kwa kufata sheria ya utumishi wa umma Bado anasisitiza CWT ni Chaka lake na ataendelea kuwa katibu Sasa kwa akili ya kawaida kabisa utamu unapatikana CWT ndo maana hajabanduka hapo.
Hoja nyingine ya msingi kibali cha kuazimwa na cwt alikuwa anakiomba kwa miaka iliyopita na alikuwa akipewa na muajiri Sasa kwanini imekuwa ngumu kurudi kazini pale alipokataliwa kupewa kibali kipya??,,jibu Ni rahisi kabisa,,Hakuna taaamu Duniani kama ASALI
Hivi huyu ndugu ni threat kwa security ya serikali mpaka umuawazie haya? Hata hivyo, sifurahishwi na yeyote anayedhiaki serikali yetu.Lakini yote kwa yote atambue hawez shindana na serikali, ni kwamba hawajaamua tu kumdili
Kwa nini unakimbilia kusema anashindana na serikali?...Lakini yote kwa yote atambue hawez shindana na serikali, ni kwamba hawajaamua tu kumdili
Huu ndio upeo WA watu na kupenda kukandamiza haki za wenzake!! Yeye akitetea haki yake mbona inaonekana Ina kuuma sana!?Huyo fala amechanganyikiwa, hicho kinachoitwa mkataba amejitengenezea mwenyewe. Kwanza hana akili hata ya kuazimwa, yaani sisimizi km hilo ni la kushindana na serikali? Hakuna rangi hataona
Sasa yeye hayaji kurudi kufundisha, sisini Nani tumlazimishe akafundishe?Unadhani biashara rahisi eeh, subiri baada ya miaka miwili umuone atakavyochoka, acheni kumpa jeuri mwenzenu apotee