Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

Jamaa atakuwa na vigogo tu huu ujasiri anapata wapi wa kushindana na kiti namba moja?
 
Ushauri mzuri
 
Mjini bila salary, ni, majanga matupu, namuelewa Sana bro! We ukiona wabunge na ma waziri wanashikana uchawi kugombania nafasi, hapo ndio ujue utwmu wa maokoto!
 
Huyo fala amechanganyikiwa, hicho kinachoitwa mkataba amejitengenezea mwenyewe. Kwanza hana akili hata ya kuazimwa, yaani sisimizi km hilo ni la kushindana na serikali? Hakuna rangi hataona
Wewe Kilaza tulia hapo hapo ulipo. Huyo Maganga anaonekana amewazidi akili kutokana na ukilaza wenu! Na ndiyo maana anawaletea jeuri na kuwatunishia msuli.

Mrudi mkajipange upya kabla ya kumkabili tena na hivyo vyeo vyenu vya kupewa kwa sababu tu ni uvccm, huku vichwani mkiwa ni empty heads.
 
Lakini serikali nayo iache udhalimu kwa wananchi wake. Kwani kawakosea nini hasa hadi wamtafutie visa?
Serikali Haina udhalimu kwa watu,
Watu ndio wadhalimu, wanaotumia serikali vibaya kuwanyanyasa na kuwaonea raia wenzao
 
Serikali Haina udhalimu kwa watu,
Watu ndio wadhalimu, wanaotumia serikali vibaya kuwanyanyasa na kuwaonea raia wenzao
Hao watu dhalimu ndiyo serikali yenyewe kiongozi.
 
Unadhani biashara rahisi eeh, subiri baada ya miaka miwili umuone atakavyochoka, acheni kumpa jeuri mwenzenu apotee
 
Namshahuri atafute ulinzi mapema, private.
 
Huyo fala amechanganyikiwa, hicho kinachoitwa mkataba amejitengenezea mwenyewe. Kwanza hana akili hata ya kuazimwa, yaani sisimizi km hilo ni la kushindana na serikali? Hakuna rangi hataona
Acha uoga simamia kile unachokiamini.wacha aandike historia.hata akifa Leo kaburi lake litasema humu amelala aliyekataa uteuzi,humu amelala aliyesimamia msimamo wake..
 
Chama cha walimu na wewe sio Mwalimu
Kwani katiba ya CWT inasemaje kuhusu nafasi za kugombea za juu ?katibu ndiye mtendaji mkuu?je?katibu anaajiriwa kwa vigezo vipi?je,katibu anaweza kutoka nje ya walimu?
 
Kila mmoja anafas ya kujijitea kwahyo tuache tuone mwisho

Hii nchi kila ktu kinawezekan , yes kuw no or no kuw yes
 
Ili uweze kumshinda Maganga yakupasa kurejea kwenye Katiba ya CWT sio porojo kama zako! Kumshinda inabidi ulete Katiba au sheria aliyovunja ila inaonekana mnataka kumfanyia figisu ndiyo maana mnaangaika kupita mipenyoni ili mumuangushe tu
 
Lakini yote kwa yote atambue hawez shindana na serikali, ni kwamba hawajaamua tu kumdili
Hivi huyu ndugu ni threat kwa security ya serikali mpaka umuawazie haya? Hata hivyo, sifurahishwi na yeyote anayedhiaki serikali yetu.
 
Lakini yote kwa yote atambue hawez shindana na serikali, ni kwamba hawajaamua tu kumdili
Kwa nini unakimbilia kusema anashindana na serikali?...
Hii tabia ya kipumbavu sana..mtu anatetea haki yake wewe unarukia eti anashindana na serikali...
Unafikiri kila mtu ni mjinga na muoga kama wewe...
 
Huyo fala amechanganyikiwa, hicho kinachoitwa mkataba amejitengenezea mwenyewe. Kwanza hana akili hata ya kuazimwa, yaani sisimizi km hilo ni la kushindana na serikali? Hakuna rangi hataona
Huu ndio upeo WA watu na kupenda kukandamiza haki za wenzake!! Yeye akitetea haki yake mbona inaonekana Ina kuuma sana!?
 
Unadhani biashara rahisi eeh, subiri baada ya miaka miwili umuone atakavyochoka, acheni kumpa jeuri mwenzenu apotee
Sasa yeye hayaji kurudi kufundisha, sisini Nani tumlazimishe akafundishe?
Ukiona anabisha kiasi like ujue anayo option nyingine.
Plan B muhimu.
Kwanza alisha ajiriwa Kama muhasibu huenda anayo taaluma hiyo ataenda taasisi binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…