Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi CCM amtaka CAG kufanya ukaguzi wa fedha za Tone tone za Chadema

Wao walichangiwa na mabilioni ya pesa hakuna mwanachadema alisema wakaguliwe leo chadema wanachangiwa mia mia na wananchi bado inawauma Ndo maana mm nilihama ssm maana kuna ungese mwingi sana na roho mbaya
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
CAG aanze na ukaguzi wa mabillion yaliyochangwa na wafanyabiashara kwa siku moja ili watanzania tujue kama yalitumika vuzuri na waliochangia walizipata kihalali au ni utakatishaji.
Kasahu kuwa kila mwaka CAG uwa anakagua hesabu za vyama. Sijui huyu mwana CCM alikuwa anawaza nini kichwani mwake.
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
CCM wamebanwa pabaya sana.
 
Akumbushwe kwamba yeye ni katibu wa fedha wa ccm, sio chadema.
Hivi yale mabilioni ccm walichangiwa na matajiri wakwepa kodi amashameita cag akayakague?
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
CAG hafanyi (at least hapaswi kufanya) kazi kwa maelekezo ya mazafaka fulani wa CCM.
 
bado mwenyekti wao nae aje kuongeza maji moto umekuwa mkali vibaya
wapelekee moto
 
Hii michango ya buku buku mpaka kufika mil 200+ imewaumiza sana ccm,wao walitarajia watu wachache mfano kama GSM nk watachangia kiasi kikubwa cha pesa.
Wanajiuliza buku buku wamechanga jumla watanzania wangapi mpka kufika mil 200.
Wajue kuwa CDM ipo mioyoni mwa watnzania
Kaka unajua maana ya utakatishaji wa pesa??
 
Back
Top Bottom