Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi CCM amtaka CAG kufanya ukaguzi wa fedha za Tone tone za Chadema

Ipo haja ya hili jambo kufanyika..... Kuna pesa chafu nyingi zinapitia huo mkondo.
 
CAG = Controller and Auditor General
Kwa Kiswahili: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Kazi yake ni nini?
CAG ni msimamizi mkuu wa ukaguzi wa fedha za umma nchini Tanzania. Kazi zake kuu ni:

1. Kukagua hesabu za Serikali - Anapita vituo vyote vya Serikali: Wizara, Halmashauri, Taasisi za Umma, Mashirika ya Serikali, Miradi, nk. kuangalia kama pesa zimetumika kwa mujibu wa sheria.
2. Kutoa Ripoti - Kila mwaka CAG anatoa ripoti kwa Rais na Bunge kuhusu jinsi Serikali ilivyotumia pesa. Ripoti hiyo ndio Bunge hutumia kujadili matumizi mabaya au matumizi mazuri ya fedha.
3. Kudhibiti - Anahakikisha kuna uwajibikaji, uwazi na ubadhirifu una
pungua.
Hayo ndio majukumu ya CAG
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
Anadhani huyo CAG ni mjinga kama wale wakatiliki fake wa Mwigulu? Yaani kuna pesa serous CAG kakagua na hakuna ufuatiliaji ndio amtume kukagua pesa za sadaka? Yaani ikitokea kweli CAG akamsikiliza huyo mpuuzi ndio nitajua ni kwa kiasi gani taasisi za nchi hii ni takataka kuliko ninavyodhani.
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.

"Kwa sasa wanachama wa CHADEMA, pamoja na viongozi wenzake Heche, hawana imani naye tena kutokana na ubadhirifu anaoendelea kuufanya ndani ya CHADEMA," amedai Jamal.

Aidha, amesisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuwa na mifumo madhubuti ya kuongeza mapato na kusimamia rasilimali zake kwa uwazi na uwajibikaji.
IMG_2445.jpeg
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.

"Kwa sasa wanachama wa CHADEMA, pamoja na viongozi wenzake Heche, hawana imani naye tena kutokana na ubadhirifu anaoendelea kuufanya ndani ya CHADEMA," amedai Jamal.

Aidha, amesisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuwa na mifumo madhubuti ya kuongeza mapato na kusimamia rasilimali zake kwa uwazi na uwajibikaji.View attachment 3644680
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine,safisha kwanza nyumba Yako ya jirani achana nayo,haikuhuusu huu ni Umbea!
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.

"Kwa sasa wanachama wa CHADEMA, pamoja na viongozi wenzake Heche, hawana imani naye tena kutokana na ubadhirifu anaoendelea kuufanya ndani ya CHADEMA," amedai Jamal.

Aidha, amesisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuwa na mifumo madhubuti ya kuongeza mapato na kusimamia rasilimali zake kwa uwazi na uwajibikaji

Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.

"Kwa sasa wanachama wa CHADEMA, pamoja na viongozi wenzake Heche, hawana imani naye tena kutokana na ubadhirifu anaoendelea kuufanya ndani ya CHADEMA," amedai Jamal.

Aidha, amesisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuwa na mifumo madhubuti ya kuongeza mapato na kusimamia rasilimali zake kwa uwazi na uwajibikaji.View attachment 3644680
Tangu lininCCM ikawa na huruma na CDM.
Mwaka tutaona mengi 😂😂😂😂
 
Ila mbogamboga sasa hivi wanatapatapa sana Yani CAG alitoa ufafanuzi wa wizi wa mabilioni na hakuna aliyewajibishwa zaidi ya kuambiwa waone aibu eti Leo hao hao wanataka CAG afatilie miliini mia mbili za CDM😀😀
 
Hicho Chama kishakufa
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
Ni bora mngechagua ufisadi wa ccm kwanza kabla ya kuhangaika na chadema.
 
Ndio lile genge la kina Lucas na yule mkata viuno tilatilah
 
Nikikumbuka zile B10 za mzee jiesemu mbona hakumtaka CAG azifanyie ukaguzi? Pamoja na za mafia fulani nae alichangia b za kutosha.

#Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom