MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Fikiria kiongozi wa kamati kuu hajui hata trillioni 230 ni nini.
Hakika CCM imefika mwisho.
Heche is an unmatched creature.View attachment 3651066
Fikiria kiongozi wa kamati kuu hajui hata trillioni 230 ni nini.
Hakika CCM imefika mwisho.
Ila hata kama hana Elimu ndio hajui Trillioni 1 ni pesa kiasi ganiHahahah anaelimu gani huyu, tusianze kumlaumu tu.
Heche ana elimu gani? Tuanzie hapo.Hahahah anaelimu gani huyu, tusianze kumlaumu tu.
Heche ni beyond measure ni wajinga tu ndio wanaweza kuwasikiliza hawa ccmHeche ana elimu gani? Tuanzie hapo.
Mtu yeyote anayeongea kwa sauti ya juu na kutematema mate, HAWEZI kuwa na busara ya kusikilizwa! Kaangalie hotuba za Martin King Jr. au za Barack Obama uone kama wanaongea kwa kupaza sauti na kutoa mimacho! Ahahahahaha!!Heche ni beyond measure ni wajinga tu ndio wanaweza kuwasikiliza hawa ccm
Wangemwacha tu kwenye ukuu wa mkoa siasa haweziHahahah anaelimu gani huyu, tusianze kumlaumu tu.
Ndio ushindwe kujua Trillioni 234 ni kubwa kuliko hata bajeti ya nchi?Kwamba ukijua bajeti ya nchi unajua kila kitu mbona chadema ni genge la wajinga sana
USSR
Acha kutetea upunguaniKwamba ukijua bajeti ya nchi unajua kila kitu mbona chadema ni genge la wajinga sana
USSR
Tatizo niniCCM imejaa wanaheshi, huyu afsa kipenyo