Katibu wa Organization wa CCM hajui hata bajeti ya Nchi, Ndani ya CCM kwa sasa hakuna wakukaa na Heche kwenye debate

Katibu wa Organization wa CCM hajui hata bajeti ya Nchi, Ndani ya CCM kwa sasa hakuna wakukaa na Heche kwenye debate

Heche ni beyond measure ni wajinga tu ndio wanaweza kuwasikiliza hawa ccm
Mtu yeyote anayeongea kwa sauti ya juu na kutematema mate, HAWEZI kuwa na busara ya kusikilizwa! Kaangalie hotuba za Martin King Jr. au za Barack Obama uone kama wanaongea kwa kupaza sauti na kutoa mimacho! Ahahahahaha!!
 
Kwamba ukijua bajeti ya nchi unajua kila kitu mbona chadema ni genge la wajinga sana

USSR
 
Back
Top Bottom