Katibu wa Siasa na Uenezi CCM-Njombe: Ukiwa CCM una uhakika wa kwenda mbinguni, hatuendi kwa kusali sana

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya mashina na matawi.

"Mbinguni hatuendi kwa kusali sana... tunaenda kwa mambo mangapi? CCM inajenga hospitali haijengi? Inajenga shule haijengi? Barabara zinajengwa hazijengwi? Mikopo tunatoa hatutoi?"

​
 
Waliposhiba madaraka, wakafanya makufuru mbele za Mungu na mbele za wanadamu...
 
Elimu ya uraia ni muhimu sana!!
 
CCM haijengi shule wala barabara, raia tunajenga wenyewe kwa kodi zetu na nyingine wanaiba
 
Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya mashina na matawi.

"Mbinguni hatuendi kwa kusali sana... tunaenda kwa mambo mangapi? CCM inajenga hospitali haijengi? Inajenga shule haijengi? Barabara zinajengwa hazijengwi? Mikopo tunatoa hatutoi?"
Yes,
it's true,
muenezi yupo sahihi 100 kwa 100
 
Ipo siku watakuja kusema Samia ndio mungu mwenyewe kabisa afaae kuabudiwa, kama washafika hadi kusema muislamu hauwezi kusali bila kumtaja Samia.
hayo yanakua ni maneno ya mkosaji, hasa ukweli unapokua umewekwa wazi juu ya jambo fulani 🐒
 
Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya mashina na matawi.

"Mbinguni hatuendi kwa kusali sana... tunaenda kwa mambo mangapi? CCM inajenga hospitali haijengi? Inajenga shule haijengi? Barabara zinajengwa hazijengwi? Mikopo tunatoa hatutoi?"
Maccm kwa wizi wa kura na mauaji wanayofanya wakifa wote motoni tu.
 
Back
Top Bottom