mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Basi mkiambiwa saa100 ni mungu hamtopingaukweli ukiwekwa wazi daima hua ni shida sana kwa wasioupenda gentleman 🐒
Ova
Basi mkiambiwa saa100 ni mungu hamtopingaukweli ukiwekwa wazi daima hua ni shida sana kwa wasioupenda gentleman 🐒
Anavyoongea ni kama mdomo na ubongo havina ushirikiano
Gentleman,Basi mkiambiwa saa100 ni mungu hamtopinga
Ova
Hatukuwahi kutegemea kwamba atakuja mtu kusema kwamba waislamu huwa wanamtaja Samia katika ibada ila imetokea, sasa hivi tunaambiwa ukiwa ccm unaenda mbinguni sasa unashindwaje kuona kwamba ipo siku atakuja wa kusema Samia ndio ndio mungu mwenyewe? Hili la ukiwa ccm unaenda mbinguni pengine mkuu ndio linakupa nguvu ya kusifia hii serikali ya ccm kwa kuamini una uhakika wa kwenda mbinguni.hayo yanakua ni maneno ya mkosaji, hasa ukweli unapokua umewekwa wazi juu ya jambo fulani 🐒
ni muhimu zaidi kujikita kwenye ukweli ulioelezwa na muenezi kuliko kujaribu kuleta porojo zingine gentleman 🐒Hatukuwahi kutegemea kwamba atakuja mtu kusema kwamba waislamu huwa wanamtaja Samia katika ibada ila imetokea, sasa hivi tunaambiwa ukiwa ccm unaenda mbinguni sasa unashindwaje kuona kwamba ipo siku atakuja wa kusema Samia ndio ndio mungu mwenyewe? Hili la ukiwa ccm unaenda mbinguni pengine mkuu ndio linakupa nguvu ya kusifia hii serikali ya ccm kwa kuamini una uhakika wa kwenda mbinguni.
Kwamba ukiwa ccm una uhakika wa kwenda mbinguni ndio unaita ukweli?ukweli ukiwekwa wazi daima hua ni shida sana kwa wasioupenda gentleman 🐒
uongo uko upande gani hapo gentleman kwa mfano?🐒Kwamba ukiwa ccm una uhakika wa kwenda mbinguni ndio unaita ukweli?
Sawa,wewe utakwenda mbinguni mtakatifu 😄Gentleman,
hayo yanabaki tu kua ni maneno ya mkosaji ambae amechukizwa na ukweli juu ya jambo fulani muhimu 🐒
mimi huko lazima niwepo gentleman, siwezi kukosekana hata dk 1, hata hivyo sitaki kabisa kwenda sasaivi mpka ni malize hii kazi muhimu ya kueleza ukweli humu jukwaani 🐒Sawa,wewe utakwenda mbinguni mtakatifu 😄
Ova
Mbinguni tena?Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya mashina na matawi.
"Mbinguni hatuendi kwa kusali sana... tunaenda kwa mambo mangapi? CCM inajenga hospitali haijengi? Inajenga shule haijengi? Barabara zinajengwa hazijengwi? Mikopo tunatoa hatutoi?"
Uchukue kodi za wananchi kisha mtumie kuishi maisha ya kifahari huku wananchi wenyewe wakizidi kuwa mafukara halafu kweli tutegemee nyie tena ndio muende mbinguni? Hiyo mbingu labda ya mungu samia.uongo uko upande gani hapo gentleman kwa mfano?🐒
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu gentleman, hakuna haja ya kusingizia wasiohusika na umaskini wako.Uchukue kodi za wananchi kisha mtumie kuishi maisha ya kifahari huku wananchi wenyewe wakizidi kuwa mafukara halafu kweli umtegemee nyie tena ndio muende mbinguni? Hiyo mbingu labda ya mungu samia.
Watu wanaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao halafu unakuja kusema wanaenda mbinguni?
Wacha wee aisemimi huko lazima niwepo gentleman, siwezi kukosekana hata dk 1, hata hivyo sitaki kabisa kwenda sasaivi mpka ni malize hii kazi muhimu ya kueleza ukweli humu jukwaani 🐒
🤐Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya mashina na matawi.
"Mbinguni hatuendi kwa kusali sana... tunaenda kwa mambo mangapi? CCM inajenga hospitali haijengi? Inajenga shule haijengi? Barabara zinajengwa hazijengwi? Mikopo tunatoa hatutoi?"
Yes,Wacha wee aise
Ova
Yupo sahihi 100%Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Wilaya ya Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya mashina na matawi.
Niende wapi gentlemanYes,
ama wewe unataka kwenda sasa hivi nikutakia rip in advance?🐒
mimi bado bana