Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake.
Mbeto alikiri kuwa, binafsi, ana mapenzi makubwa kwa mfumo huo wa serikali kwa sababu ya mchango wake katika kudumisha utulivu wa kisiasa visiwani Zanzibar.
Soma pia: Hatma ya GNU Zanzibar: Karama itaamua badala ya hekima, Chaguzi ndogo zinafichua dhamira
Hata hivyo, alieleza kuwa hana namna ya kuzuia hali hiyo, kwani mabadiliko ya kisiasa yanayotarajiwa yanaonekana kuwa sehemu ya mustakabali wa siasa za Zanzibar.