GE2025 Katibu wa UVCCM Pwani: Mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia

GE2025 Katibu wa UVCCM Pwani: Mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye .

Amesema mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia huku akisema watu hawa wapo ikiwa ni siku chache zimepita wakati wakiendelea na kampeni kuelekea uchaguzi wa O
ktoba 29
 
Back
Top Bottom