Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye .
Amesema mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia huku akisema watu hawa wapo ikiwa ni siku chache zimepita wakati wakiendelea na kampeni kuelekea uchaguzi wa O
ktoba 29