Katibu wa UWT Mbeya aliyefariki kwa ajali, maiti yake imepata ajali ikisafirishwa

Gari iliyobeba mwili wa Marehemu aliyekuwa katibu wa UWT mkoa wa Mbeya, Lucy Sulle, kutokea mkoani Mbeya ukielekea mkoani Babati kwa ajili ya mazishi, nalo limepata ajali maeneo ya Chemba, saa 10 alfajiri huku watu kadhaa wakiwa wameumia na kupelekwa hospitali ya Chemba kwa ajili ya matibabu.

Baadhi ya Majeruhi kwenye ajali hiyo wamepelekwa Hospitali General iliyopo mkoani Dodoma huku wengine waliopata majeraha madogo wamehudumiwa na kuruhusiwa.
Aidha gari jingine lilipatikana na kubeba mwili huo na kuendelea na safari mkoani Babati kwa ajili ya mazishi.

Pia soma: Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

Vipi hali ya marehemu amepata majeraha kiasi gani na madakitari wanasemaje kuhusu afya yake.
 
Gari iliyobeba mwili wa Marehemu aliyekuwa katibu wa UWT mkoa wa Mbeya, Lucy Sulle, kutokea mkoani Mbeya ukielekea mkoani Babati kwa ajili ya mazishi, nalo limepata ajali maeneo ya Chemba, saa 10 alfajiri huku watu kadhaa wakiwa wameumia na kupelekwa hospitali ya Chemba kwa ajili ya matibabu.

Baadhi ya Majeruhi kwenye ajali hiyo wamepelekwa Hospitali General iliyopo mkoani Dodoma huku wengine waliopata majeraha madogo wamehudumiwa na kuruhusiwa.
Aidha gari jingine lilipatikana na kubeba mwili huo na kuendelea na safari mkoani Babati kwa ajili ya mazishi.

Pia soma: Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

Duh pole
 
Dalili mbaya sana hizi mwaka huu kwa haya majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Barabarani.

Screenshot_2025-04-03-13-14-04-1.png
Screenshot_2025-04-03-13-13-58-1.png
 
Pole kwa familia na wasafirishaji
 
Mkoani babati au wilayani babati.

Hapo East Africa kudadeki zao.
 
Back
Top Bottom