peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Niwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.
Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.
2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.
Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.
Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA