Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tanzania imbebarikiwa kuwa na wanawake wajinga kama hawa wakutoshaSishangai Mwamposa kukusanya kundi kubwa la wapumbavu.. hii nchi ina wapumbavu wengi sana mpk napata hasira.
unakuja Dar kwa shughuli gani ya maana?
Huyo Katibu awanyooshe hawa wapumbafu mpaka wapate akili, good Katibu nitamtafuta nipe zawadi kabisa weekendBwana bwana na sasa anataka kumaliza hasira zake kwa huyo dada
wapumbafu na washenzi snNilisahau kuandika kua nyie ni wapumbavu.
wapumbafu na washenzi snNilisahau kuandika kua nyie ni wapumbavu.
Labda ndoano, hakuna mwaume mpumbafu ataruhu mke aende kujiuza Dar ajili ya ujinga na umalaya badala ya kutunza famili, umeenda umepata faida gani sasa? shame on youMkuu , Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO mungu aliwaumbia ulimi .
Katibu wa UWT MKOA KILIMANJARO akiongea na wewe utadhania malaika kumbe ibilisi.
Tunahitaji kumuandikia barua ya siri mama shally Raymond mbunge wetu tumlilie kilichotupata Dar yeye kama mama mwenzetu na mama yetu.
Kama sio neema ya mungu wengine tulitamani kujiuza Dar tupate pa kulala😭😭😭 ila tukamuongopa mungu na ndoa zetu
Hakuna mwanamke ambaye ameolewa ataacha ndoa ake aende kujiuza Dar na kufanya umalaya kwa mambo ya kipumbafu, wewe utaruhusu mkeo aende Dar kufanya ujinga kama huo serious?Acha tu yawakute ili mpunguze kiherehere. Mnaenda kumpongeza rais kwani hiyo kazi ya urais ni ya hisani au wajibu wake? Hizo siasa za kufuata Mkumbo mnaacha waume zenu ndani mnaenda kupiga uhuni, safari hii mtatia akili.
Hakuna mwanamke ambaye ameolewa ataacha ndoa ake aende kujiuza Dar na kufanya umalaya kwa mambo ya kipumbafu, wewe utaruhusu mkeo aende Dar kufanya ujinga kama huo serious?Acha tu yawakute ili mpunguze kiherehere. Mnaenda kumpongeza rais kwani hiyo kazi ya urais ni ya hisani au wajibu wake? Hizo siasa za kufuata Mkumbo mnaacha waume zenu ndani mnaenda kupiga uhuni, safari hii mtatia akili.
Kabisa watu wa maana wanapata ajali kumbe kuna mapumbafu mengine hapa yanatakiwa kupata ajali hata yafe kwa kujiuzaHii nchi ina wapumbavu wengi sana, mngepata ajali Angalau tupunguze akili za kiushuzi humu duniani.
Mbwa nyie
Alitaka baada ya kujiuza chama kimlipe tenapeno hasegawa unaweza kuthibitisha haya uliyaandika?
Je, ulipoalikwa uliambiwa kuwa utarejeshewa nauli au uliambiwa kuwa kila mjumbe atajigharamia usafiri, malazi na chakula. Hakuna posho uliyo ahidiwa. Mbona sasa unakiuka tulivyo ambiwa sisi wajumbe wa UWT kutoka Mkoa wa Kilimanjaro. Nitoe ushahidi?
Hii ni mbuzi wa bwana Heri amekula mahindi ya bwana Heri. Pole sana. Ccm ni ile ile, kazi iendeleeNiwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.
Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.
2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.
Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.
Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Ikiwa kwenye mashelfu dukani utaipenda jinsi inavyotunzwa.. Ikifika chooni imewekewa na holder kabisa nzuri safi ya kuvutia.. Ikisha tumika sasa [emoji23] hata kushikwa kwake ni tabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
😂😂😂Haya bhanaIkiwa kwenye mashelfu dukani utaipenda jinsi inavyotunzwa.. Ikifika chooni imewekewa na holder kabisa nzuri safi ya kuvutia.. Ikisha tumika sasa [emoji23] hata kushikwa kwake ni tabu