Wanakunywa ugali mkubwa sana na kumbikumbiKwa hivyo asubuhi wanakula nini?
Hiyo ndio breakfast yao, breakfast sio lazima iwe chai na andazi.Asubuhu wanakunywA ugali na maharage wanaenda kazini wako fiti kiafya sio kama wanaume wa dar!!!
Mavi itakuwaKwa hivyo asubuhi wanakula nini?
😃😃Kwahiyo ni Afrika yote au umechukua mifano ya hao Wahadzabe tu???
sio ndio breakfast hiyo mkuu..... breakfast ni kile kifungua kinywa unachopata baada ya kutoka kuamka pakiwa pamekucha...haijalishi ni chakula cha aina ipi ama kinywani ganiWanakunywa ugali mkubwa sana na kumbikumbi
Wengine hawafungui kinywa wanafanyaje ?Nimebahatika kutembelea nchi mbalimbali Afrika (Kusini mwa Sahara); nilichokiona ni kwamba wengi hawana utamaduni wa kifungua kinywa asubuhi (Mzungu huita breakfast)
Najua hata Tanzania yetu pia siyo wote wanapata kifungua kinywa, lakini ni jambo la kawaida hasa mijini, asubuhi kupata kikombe cha chai au wengine hata Kahawa na chapati/andazi/kitumbua/mkate.