Katika Afrika ni Watanzania tu ndo tuna kifungua kinywa (Breakfast)

Mlo wa asubuhi ni muhimu sana kwani ndio unaofungua siku. Piga vitu vya uhakika, mchana punguza, jioni hata matunda yanatosha ili mwili upumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia breakfast ni chai au uji na maandazi .mimi nikiamka asubuhi nakula ugali naenda kwenye mishe zangu! Je hiyo siyo breakfast?
 

Nkiiishi huko itabidi cha asubuhi niweke mchana maana breakfast huwa situmii na cha mchana nikikosa hakuna kitu kitakwenda asee...
 
sio ndio breakfast hiyo mkuu..... breakfast ni kile kifungua kinywa unachopata baada ya kutoka kuamka pakiwa pamekucha...haijalishi ni chakula cha aina ipi ama kinywani gani
Sahihi.
 
BREAKFAST = A meal eaten in the morning, the first of the day.
//
'KIFUNGUA MFUNGO' = Ni mlo unaoliwa asubuhi, wa kwanza kwa siku husika.

*Kwahiyo; Haijalishi ni Dona, au Minchembe au Maziwa au 'Chai nyeusi' au whatever... So, sina uhakika kama nchi zote hizo raia wake wanapiga pasi ndefu*
 
sio ndio breakfast hiyo mkuu..... breakfast ni kile kifungua kinywa unachopata baada ya kutoka kuamka pakiwa pamekucha...haijalishi ni chakula cha aina ipi ama kinywani gani
Upo sahihi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…