Katika ardhi ya Palestina nini kinawapa kipato raia wake?

acha kuongopa kwenye Uislamu hatuna mambo hayo ya kubariki taifa kama nyie wehu wa ki Israel
 
Gaza ilikua ina kimbizana na jiji tunalo tamba nalo dsm
 
Wengi wako Ughaibuni huko wanaplunder wanajenga kwao.
Pia muslim brotherhood nao wanawasaidia parefu tu.
 
Kwa Taarifa yako Akina Arafat, Ismail Haniyeh na wenzao hiyo so called Palestinians cause ni mradi unawapatia pesa za bure bure nyingi. Donations za Mataifa mbalimbali. Halafu pia ujue kuwa mfani ile Gaza wanayojida was an open prison, ndiyo hiyo Gaza yenye best hospitals ukilinganisha na mataifa mengi ya kiarabu. Watu wao they are well educated kupitia misaada ya akina UNRWA. Report ya Karibuni inaonyesha Palestine is among top places with high literacy.
 
Gaza imeshanyakuliwa israel.kuipata tena si leo wala kesho
 
Kabisa. Inawezekana sera za kupokea misaada nje ya nchi zinawasaidia sana Wapalestina. Mfano, gharama ya chini ya vifaa vya ujenzi. Kule inaonekana mtu wa kawaida tu anajenga ghorofa la kuishi na gari anakuwa na gari! Bongo sasa!
 
Kabisa. Inawezekana sera za kupokea misaada nje ya nchi zinawasaidia sana Wapalestina. Mfano, gharama ya chini ya vifaa vya ujenzi. Kule inaonekana mtu wa kawaida tu anajenga ghorofa la kuishi na gari anakuwa na gari! Bongo sasa!
Mbona sisi tunapokea misaada tangu tupate uhuru, lakini bado tuna mbavu za mbwa za kutosha? Sielewi hasa uchumi wao unaendeshwaje au nini kinafanya wana maendeleo kuliko hata first world countries.
 
Kwa hiyo misaada walikuwa wanaitumia kujenga makazi na miundombinu? Nadhani tunahitaji waasi Tanzania wa style hiyo ili nasi tuweze kusogea. Mana inafurahisha kuona misaada inatumika kujenga mijumba ya maana na kwa mpangilio mzuri kabisa.
 
Wengi wako Ughaibuni huko wanaplunder wanajenga kwao.
Pia muslim brotherhood nao wanawasaidia parefu tu.
Huko Nje wao wanafanya kazi gani za kufanya wajenge maghorofa maeneo yote kiasi kile, yani huko nje wote ni madakitari na engineers tupu nadhani. Hao Brotherwood wao pesa wanazichimba au ndio wanaroho nzuri sana kiasi hicho?
 
Halafu wanawake wao wazuri mashallah mashallah
 
Hapo naanza kuelewa, lakini payback ilikuwa nini kwamba wanajengewa tu au kulikuwa na makubaliano ya nini kitalipia gharama za wao kujenga?
 
Kwa mtizamo na ufahamu wako nini hasa kinafanya kama taifa wanajenga makazi mazuri, miundombinu mizuri na hata unapoangalia mabaki ya maghorofa baada ya mabomu, yanaonyesha ni kiasi gani hayo majengo ni imara.
Wanachimba mafuta na wao au wao wanafanya nini?
 
Palestine, both as a nation and for its citizens, relies on a variety of sources of income. These sources are influenced by the geopolitical situation, restrictions, and the ongoing Israeli-Palestinian conflict. Here's a breakdown:

### For Palestine as a Nation:
1. International Aid:
Palestine receives significant financial aid from international donors, including the European Union, the United States (historically, though this has fluctuated), Arab states, and organizations like the United Nations. This aid supports infrastructure, governance, and humanitarian needs.

2. Tax Revenues:
The Palestinian Authority (PA) collects taxes, including income tax and value-added tax (VAT). However, a significant portion of tax revenue comes from customs duties and taxes on goods imported into Palestine, which are collected by Israel and then transferred to the PA under the Paris Protocol (though this has been a point of contention and sometimes withheld).

3. Remittances:
Palestinians living abroad send money back to their families in Palestine, which contributes to the economy.

4. Trade and Agriculture:
Agriculture is a key sector, with products like olives, citrus fruits, and vegetables being exported. However, trade is heavily restricted due to Israeli controls over borders and movement of goods.

5. Tourism:
Sites like Bethlehem, Jericho, and Hebron attract tourists, particularly religious pilgrims. However, tourism is heavily impacted by the conflict and restrictions on movement.

6. Private Sector and Small Businesses:
Small and medium-sized enterprises (SMEs) play a role in the economy, though they face challenges due to restrictions on movement, access to resources, and markets.

---

### For Palestinian Citizens:
1. Employment:
- Many Palestinians work in the public sector, employed by the Palestinian Authority in roles like education, healthcare, and administration.
- Others work in the private sector, including agriculture, construction, and services.
- A significant number of Palestinians work in Israel or Israeli settlements, often in low-wage jobs like construction or agriculture. However, these jobs require permits and are subject to strict restrictions.

2. Agriculture:
Farming is a traditional source of income for many families, particularly in rural areas. Olive oil production is a key activity.

3. Remittances:
Palestinians living abroad, particularly in the Gulf countries, Europe, and the Americas, send money back to their families, which is a crucial source of income for many households.

4. Humanitarian Aid:
Many Palestinians rely on aid from international organizations like UNRWA (United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees), which provides food, healthcare, and education support.

5. Informal Economy:
Due to high unemployment and economic restrictions, many Palestinians engage in informal economic activities, such as small-scale trade or unregistered businesses.

6. Education and Skilled Work:
Some Palestinians with higher education work in professions like engineering, medicine, or IT, though opportunities are limited due to the economic situation.

---

### Challenges:
  • Restrictions on Movement: Israeli checkpoints, the separation barrier, and blockades (e.g., in Gaza) severely limit economic activity.
  • Unemployment: High unemployment rates, especially among youth, are a major issue.
  • Dependence on Israel: The Palestinian economy is heavily dependent on Israel for trade, employment, and tax revenues, making it vulnerable to political decisions.
  • Political Instability: The division between the West Bank (governed by the PA) and Gaza (controlled by Hamas) further complicates economic development.

In summary, Palestine's economy is fragile and heavily reliant on external aid, remittances, and limited trade, while citizens face significant challenges in securing stable income due to political and economic restrictions.
 
Duh kumbe tunahitaji watawala waaminifu tungeweza kuishi kama tuko peponi kwa rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…