Katika ardhi ya Palestina nini kinawapa kipato raia wake?

Inawezekana, kwasababu ukiangalia kwenye picha, hakuna Nyumba ya hovyo hovyo kama hizi zetu hapa. Kule ni Maghorofa tupu na siyo maghorofa uchwala ni maghorofa kweli.

Lakini sijawahi kusikia kama Palestina wanachimba mafuta, au wana uza madini nje au labda wanalima sana kuliko sisi.

Ardi yenyewe jangwa lile nikiangalia masalia ya vita sioni hata bustani za Mboga, huwa najiuliza wao kipato chao hutoka wapi?
Gas na mafuta vipo pale Gaza na ndio maana Israel na Marekani hawalali.
"
Reserves of natural gas were found offshore the Gaza Strip in the year 2000, within the framework of licensing to British Gas by the Palestinian National Authority.[1] The discovered gas field, Gaza Marine, though mediocre in size, had been considered at the time as one of the possible drives to boost Palestinian economy and promote regional cooperation.

With Hamas takeover of the Gaza Strip in the year 2007, the chances for developing the gas field turned low - both due to standoff with the Ramallah administration and the Israeli refusal to deal with Hamas group.[2] The chances further diminished with the discovery of major gas fields in the Israeli economic waters in 2009 and 2010, making Israel an unlikely customer for the Palestinian gas. In 2023 Israel has given preliminary approval for the development of the Gaza Marine gas field, with the involvement of the Palestinian Authority and Egypt,[3][4] but, as of 2024, Gaza's natural gas was still underwater."
 
Ok, kumbe wana mali lakini haijaanza kuchimbwa?

Hili linaanza ku make sense sasa.

Wameanza kuyachimba na kuiuza au bado wanaitolea macho tu?
 
Nikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao?

Ukiangalia picha za vita, Tizama maghorofa ya Palestina, linganisha na Maghorofa ya Ukraine, utashangaa kuona Palestina ni Taifa lina Majengo mazuri na Imara sana, hata magofu/masalia yanonesha hivyo.

Nini shughuli za wapalesina hasa katika ardhi yao, tukiacha maeneo yaliyokumbwa na vita. Je ni Mafuta, au nini hasa huwapa pata la kuweza kumudu kujenga majumba makubwa kiasi kile?
Vipo vitu vingi sana vinavyoleta mapato mfano:
1.biashara
2.kilimo
3.uvuvi
4.kuna utalii
 
Huko Nje wao wanafanya kazi gani za kufanya wajenge maghorofa maeneo yote kiasi kile, yani huko nje wote ni madakitari na engineers tupu nadhani. Hao Brotherwood wao pesa wanazichimba au ndio wanaroho nzuri sana kiasi hicho?
Eleza wewe sasa chanzo chao cha uchumi
 
acha kuongopa kwenye Uislamu hatuna mambo hayo ya kubariki taifa kama nyie wehu wa ki Israel
Mtakueje nayo wakati dini yenu inawaza rabsha na kuchinja watu? Kwanza muda wa kubariki mnao? HAKUNA mvaa bakuli kichwani anaewaza kubariki,wote lao Moja,kuhubiri chuki,kufitinisha,na kulaani. Mnakuja kujua mlikuwa mnapaka upepo rangi baada ya kuwakosa bikra 72 😂😂😂
 
Sawa tunawaza kuchinjana lakini wehu wa kuamini Israel sijui taifa teule ukalibariki hapana hatuna huo uchizi.
 
Nikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao?

Ukiangalia picha za vita, Tizama maghorofa ya Palestina, linganisha na Maghorofa ya Ukraine, utashangaa kuona Palestina ni Taifa lina Majengo mazuri na Imara sana, hata magofu/masalia yanonesha hivyo.

Nini shughuli za wapalesina hasa katika ardhi yao, tukiacha maeneo yaliyokumbwa na vita. Je ni Mafuta, au nini hasa huwapa pata la kuweza kumudu kujenga majumba makubwa kiasi kile?
Wanashughuli za uchumi nyingi, pia wanafanya kazi na kukusanya kodi wakishirikiana na Israel hasa westbank. Before October 7 zaidi ya Watu wa Gaza walikuwa wanaamka asubuhi na kwenda kufanya kazi Israel.

Uchumi wa Israel ni sawa na mara 100 ya uchumi wa Tanzania na kwa mtu mmoja wanapitia kipato kikubwa sana, so utaona namna wanapata hela
 
Lakini hela ya mshahara haijengi maghorofa yale tunayoyaona West Bank na Gaza. Kuna wadau wanasema yalijengwa na Israel kwa makubaliano na wapalestina, lakini mshahara sidhani.
 
Back
Top Bottom