Katika bara la Antarctica kuna vitu vinafikirisha

Jua linamove kwa kuizunguka dunia ndio maana jua linazama na kuchomoza. Mfanp ni ulitupe jiwe kwenye maji, je maji yatazama au jiwe litazama? Kinachozama ndio kinachotembea.
Jamaa anakwambia dunia INAZUNGURUKA [emoji1787]

Hizi elimu ni hatari sana, sio kosa lake.

Ameshameza madesa ya kutosha mpaka akahitimu akaitwa INJINIA utamwambia nini akuelewe!

INJINIA tena ana miwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa anakwambia dunia INAZUNGURUKA [emoji1787]

Hizi elimu ni hatari sana, sio kosa lake.

Ameshameza madesa ya kutosha mpaka akahitimu akaitwa INJINIA utamwambia nini akuelewe!

INJINIA tena ana miwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaa, mimi naamini katika lugha historia na mahesabu, linapokuja sayansi naona kabisa ni muda wa kuwa makini sana. Nimedanganywa sana hadi kuhusu uumbaji wa Mungu bado sayansi inamwaga sera.
 
Kutoka marekani mpaka urusi kwa ndege ni km ngapi?? Na umbali wa kutoka urusi mpaka marekani ni km

Kutoka marekani mpaka urusi kwa ndege ni km ngapi?? Na umbali wa kutoka urusi mpaka marekani ni km ngapi?
Kutoka USA kwenda Russia kwa safari ya ndege zenye kasi ya mph 560 ni umbali wa mile 8,909 na inachukua muda wa saa 10.

Ukichukulia kijiografia ya mipaka ya mataifa hayo mawili iliyopo katika bahari ya Pacifiki kwenye visiwa vya Diomede, umbali wa kutoka Marekani hadi Russia ni maili 3.8 hata kwa macho makavu ukiwa Marekani unaona Russia "live".
 
Tatizo lako wewe huna fact's kwenye kila kitu ispokuwa mihemko tu, ukiulizwa basi elezea hicho unachokiongelea ili na watu wengine wapate kujifunza unakimbilia kusema unapotezewa muda ila cha ajabu wewe ndio wa Kwanza Ku quote comments za watu
 
Ni Mwalimu Gani huyo alikufundisha kuwa Bars la Antarctica halíkaliwi na Watu?? Mtafute umuulize Vizuri...na umshauri aache Kazi ya Ualimu!
Sasa haya ndio majibu meusi ya kiafrika.
Kama unajua toa elimu vinginevyo futa makalio pita hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…