Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Ni hatari kweli kweli.Jiongeze. Ni mambo machache ya maana na ya kweli yanayofundishwa shuleni. (Mambo mengi ya shuleni ni fabricated)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari kweli kweli.Jiongeze. Ni mambo machache ya maana na ya kweli yanayofundishwa shuleni. (Mambo mengi ya shuleni ni fabricated)
Jamaa anakwambia dunia INAZUNGURUKA [emoji1787]Jua linamove kwa kuizunguka dunia ndio maana jua linazama na kuchomoza. Mfanp ni ulitupe jiwe kwenye maji, je maji yatazama au jiwe litazama? Kinachozama ndio kinachotembea.
Hahaaa, mimi naamini katika lugha historia na mahesabu, linapokuja sayansi naona kabisa ni muda wa kuwa makini sana. Nimedanganywa sana hadi kuhusu uumbaji wa Mungu bado sayansi inamwaga sera.Jamaa anakwambia dunia INAZUNGURUKA [emoji1787]
Hizi elimu ni hatari sana, sio kosa lake.
Ameshameza madesa ya kutosha mpaka akahitimu akaitwa INJINIA utamwambia nini akuelewe!
INJINIA tena ana miwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka marekani mpaka urusi kwa ndege ni km ngapi?? Na umbali wa kutoka urusi mpaka marekani ni km
Kutoka USA kwenda Russia kwa safari ya ndege zenye kasi ya mph 560 ni umbali wa mile 8,909 na inachukua muda wa saa 10.Kutoka marekani mpaka urusi kwa ndege ni km ngapi?? Na umbali wa kutoka urusi mpaka marekani ni km ngapi?
Tatizo lako wewe huna fact's kwenye kila kitu ispokuwa mihemko tu, ukiulizwa basi elezea hicho unachokiongelea ili na watu wengine wapate kujifunza unakimbilia kusema unapotezewa muda ila cha ajabu wewe ndio wa Kwanza Ku quote comments za watuMatakataka ya secondary school. Hizo ndizo shule za kusomea ujinga anazozisemaga FaizaFoxy.
Nikikuuliza umepata wapi haya maarifa, bila shaka utaniambia ulifundishwa na mwalimu wa jografia wa form two.
A dangerous knowledge which is full of rubbish and APPARENT DECEPTION. Hii ni elimu ya IBILISI MDANGANYIFU.
Wewe unaona kabisa DHAHIRI SHAHIRI kwamba JUA LINAJONGEA lakini umeshupaza shingo ati dunia inajizungurusha kwa kuwa tu ulibugia NOTES za secondary school zilizotungwa na akina NAPE NNAUYE na jopo lake la WALAGHAI.
Jameni!! Kaaah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa haya ndio majibu meusi ya kiafrika.Ni Mwalimu Gani huyo alikufundisha kuwa Bars la Antarctica halíkaliwi na Watu?? Mtafute umuulize Vizuri...na umshauri aache Kazi ya Ualimu!
Kau fafa NUZI tafadhaliNi bara Liliwahi kukaliwa Na Viumbe Watu na Wasio watu..