Katika degree yako ipi course unaona ni baba lao??

Katika degree yako ipi course unaona ni baba lao??

BACHELOR OF VETERINARY MEDICENE a.k.a BVM ndio baba Lao.... Kuna vitu Kama pathology... anatomy... Ni shider....
 
Kuna kozi moja hiyo, MTAANI 303....Uki ikosa hiyo basi tena, full supplementary na wengi huwa wana disco. Anaifundisha Prof. Chenge, prof. Lowasa anasaidiwa na TA wake Tibaijuka.


Hahaha Tibaijuka keshakuwa Tutorial Assistant
 
-public finance
-international economics.
-applied econometrics.
Bachelor of arts in economics.
 
we mtoa mada mi sijakuelewa kabisaaaaaaa baba lao kwe nyanja zipii??? ugumu wa somo, utility yake .. Ama?
 
Embu toeni utoto huku wa fb na blogs,sasa unasema kozi baba la ili iweje? huna akili timamu wewe.
 
Embu toeni utoto huku wa fb na blogs,sasa unasema kozi baba la ili iweje? huna akili timamu wewe.

Mbona umekasirika mkuu kipi kimekuudhi mtu kusema kile alichofurahia katika degre yake ni bibaya usitake nikujibu kulingana na unavyonishushia personality kama hukubahatika kusoma somo ulilofurahia si lazima utoe kasoro do you think kila mtu hapa ana utoto wa fb kama unavyodhan wewe be care man
 
we mtoa mada mi sijakuelewa kabisaaaaaaa baba lao kwe nyanja zipii??? ugumu wa somo, utility yake .. Ama?

Siyo ugumu kaka ni Utility yani kuna course unasoma unagundua kabisa kua hii ndio course iliyonifurahisha mfano kwa muono wangu SOCIAL PSYCHOLOGY ndio course inayofurahisaha sana mtu yeyote aliyesoma Psychology atakubaliana na mimi hapa
 
Medicine babalao zingine ni upuuzi tuu!ndiyo maana duration yake ni 5 yrs.Haina ubabaishaji kama zingine ambazo hata kwa chupi unapata degree

Doctor akishaanza dharau mapema hivi sidhani ka kuna mchomoko mzuri hapo...
 
Haya mkimaliza kutambiana course ipi kali ipi ngumu, rudini mtuambie mmefanya nini baada ya kupata hizo degree
 
Back
Top Bottom