Masai Mara
Senior Member
- Dec 25, 2014
- 134
- 54
Kuna kitu inaitwa PYROMETALLURGY ni noma pale CME COET
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kozi moja hiyo, MTAANI 303....Uki ikosa hiyo basi tena, full supplementary na wengi huwa wana disco. Anaifundisha Prof. Chenge, prof. Lowasa anasaidiwa na TA wake Tibaijuka.
Esrcowlogy.....
Duuu!! Kwani Tegeta kuna chuo mkuu?
Kuna kitu inaitwa PYROMETALLURGY ni noma pale CME COET
Embu toeni utoto huku wa fb na blogs,sasa unasema kozi baba la ili iweje? huna akili timamu wewe.
we mtoa mada mi sijakuelewa kabisaaaaaaa baba lao kwe nyanja zipii??? ugumu wa somo, utility yake .. Ama?
Medicine babalao zingine ni upuuzi tuu!ndiyo maana duration yake ni 5 yrs.Haina ubabaishaji kama zingine ambazo hata kwa chupi unapata degree