Katika Demokrasia ya CHADEMA, Mbowe hajawahi kushindwa uchaguzi wowote wa ndani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM.

Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB.

Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba walipotumia njia ya demokrasia kugombea uenyekiti walijaribu kuingia " msituni" na kilichowakuta huko ndio akazaliwa mtoto ACT wazalendo.

Kwa kifupi ni kwamba Mbowe ndiye atakayemsindikiza Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu wa October.

Maendeleo hayana vyama!
 
Siku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!
Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lisu kuandikwa na vyombo vya habari.

Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!
Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.

Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.

Shituka
 
Lissu hajui kwamba Chadema ina mwenyewe
 
P. bana unahaika sana kama kuku anayetaka kutaga
 
Propaganda za kitoto, mwambieni jiwe ripoti ya tiss inayosema atadhinda kwa 60% in uongo, wanamdanganya. ripoti halisi ambayo tumeifukunyua ni kuwa atashindwa kwa 48%
 
Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM.

Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB.

Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba walipotumia njia ya demokrasia kugombea uenyekiti walijaribu kuingia " msituni" na kilichowakuta huko ndio akazaliwa mtoto ACT wazalendo.

Kwa kifupi ni kwamba Mbowe ndiye atakayemsindikiza Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu wa October.

Maendeleo hayana vyama!
ukiona hivyo ujue wenziwe wanamuona anafaa...
 
Nani kakwambia mataga, mtu mmoja tu anawasumbua ccm wote: Mbowe
 
Endeleeni kupiga ramli..lkn mgombea anajulikana hata ninyi ccm mnajua sema tu mmeamua kujitoa ufahamu
 
Hapa ndipo Chadema wanapowazidi akili Lumumba, yaani mmeshamisha attention yenu toka kwa Lissu kwenda kwa Mbowe!.
 
Kama mgombea wa upinzani atakuwa Lisu au Zitto ntaenda kupiga kura hata Kama nec watafanya figisu wakishirikiana na ma ccm.
 
Back
Top Bottom