Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

unalia wakati ndio opportunity ya wewe kutoa solution na kua bilionea?

wewe unataka matatizo yote yatatuliwe halafu nyie mtakua mabilionea lini?

sipeendagi mambo ya malalamiko wakati ndio fursa hizi
 
Mbona jambo hili lishazungumziwa na mkurugenzi wa nida tangu mwezi April.
Kwa uchache tu ni kwamba mtoto atakapokuwa amezaliwa anapewa papo hapo nida namba.
Watu wote ma group ya damu yatawekwa juu ya kitambulisho cha nida.
Bima za afya ktk huduma hautahitaji tena kitambulisho cha bima ya Afya..bali ni Nin tu.,na tyr limesha rasimishwa nhif.
Taarfa za Passport itawekwa ndani ya nida.
Ma bank nayo yameshaanza kuunganisha taarfa za mteja na nida.
Leseni ya udereva itakuwa ndani ya Nida.
Cheti cha kuzaliwa ndani ya nida.
Hata tiketi za sgr na mwendokasi mambo yote ni lazima uwena Nida.
Mambo ni mengi..ngoja niitafute video niipakie au ni link.



View: https://youtu.be/CVxz04KvBg4?si=TrpzrCtjxg7Z4jwA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…