Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

🤣🤣🤣 yaani hapo ndugu chui anasikia harufu ya hewa chafu tu zinatoka mfululizo..... Kwenye mazingira kama hayo hapo ndio binadamu unajua tofauti na roho nafsi na mwili😂😂😂
Nakazia hoja. Tena ukijua kwamba huyo hajaja hapo kirafiki -anatafuta riziki ya kila siku.
 
Nanukuu: "Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana." Lakini huko down "maji tiririka" yakiendelea kumwagika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…