Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

Mkigongana machi itakuwaje?
 

Ukiona mnyama anawinda binadamu, ujue kuna shida. Wanyama kama fisi ambao hawana adabu wala maadili. Usukumani wanapendwa sana
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nna trip ya Mikumi mbona km umefanya niahirishe kiongozi..!!
Mpaka unapanga means ulishadhamiria kwenda ila kwangu mimi nilishasema haitowahi kutokea kwangu mimi nipange safari ya kwenda mbugani kuangalia wanyama, NEVER EVER! Ninyi nendeni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ