Katika hali ya kawaida, kumbukumbu namba inaweza isiwe unique feature?

Katika hali ya kawaida, kumbukumbu namba inaweza isiwe unique feature?

Sasa kama kumbukumbu namba isipokuwaunique itakuaje baghosha kwenye kulipia si unaweza jikuta umelipia demu wa mtu school fees
 
RAO aliwahi kusema nanukuu ''we come here to test our judiciary and we get the result'' mwisho wa nukuu.
 
sijaelewa, control number ya za mifumo ya nishati na utilities sio unique ?
 
Inategemea na mfumo. Lakini kawaida kumbukumbu namba kwenye mfumo mmoja inakuwa unique muda wote.... inawezekana mifumo tofauti namba zikagongana, lakini katika mfumo mmoja hilo likitokea, lazima tuanze kuwa na mashaka na mtengenezaji/mbunifu wa mfumo.
 
Back
Top Bottom