Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:

 
Ndio mafanikio yetu hayo, tunashukuru kwa kila jambo.
 
Na kapigwa goli nne
 
Kipa wa Mali aliyefungwa goli la tobo (Diara) naye amejitahidi, kashika nafasi ya 12
 
Mkuu hii list imepangwa numerical kutokana na saves ambazo hao makipa wamefanya, ubora haziangaliwi saves peke ake kuna vigezo vingi vinaangaliwa ikiwemo na clean sheets. Ubora wa hao makipa upo kwenye row ya mwisho inayoonesha average rates ambapo manula ana point 7 akiwa kapitwa na makipa wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…