Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo Manula amefanya saves za kutosha?Mkuu hii list imepangwa numerical kutokana na saves ambazo hao makipa wamefanya, ubora haziangaliwi saves peke ake kuna vigezo vingi vinaangaliwa ikiwemo na clean sheets. Ubora wa hao makipa upo kwenye row ya mwisho inayoonesha average rates ambapo manula ana point 7 akiwa kapitwa na makipa wengi sana.