Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

Kwa hiyo Manula amefanya saves za kutosha?
 
Kiukweli ameisaidia sana timu...
 
Sisi tulitaka kuona wanaingia 16 bora
Hatutaki kusikia blah blah zenu
Sjui team ndy yenye jezi nzuri mara kipa bora

Ova
 
Hakim Ziyechi kaenda kuchekea chooni.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ulivyoiona hiyo list ukajua inaongelea ubora? Scores zao zipoje?
 
Mshaanza ukuda wenu nyie Makolo na wenzenu Uto. Kuwa kipa bora kunatusaidia nini wakati tumetolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…