Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.
Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa kimoja baada kingine. Mwishowe vilivyotangulia ikabidi vipindishe kurudi vilikotoka.
Vifaru hivyo navyo havikuweza kuvuka popote vikaishia kuungua chini ya mitende. Hata hivyo vidio zimekaa vizuri na mazingira yote ni ya mpakani mwa Gaza na Israel.
Hivyo vifaru sijui ni matoleo gani lakini vilionekana vingine vikiunguzwa kwa kombora moja na vyengine vikirudiswa kwa moto mwengine kutokea juu huku ndege wakubwa wakishangilia.
Kipigo hicho lazima ndicho kilichoipa hasira Israel kwa uamuzi wa Ellon Musk kuwaunganisha watu wa Gaza na star linki yake.
Baada ya mpambano huowa hapo juzi, jana waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema "The war in Gaza will be long and difficult".