Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #41
Hizi vidio ni shida kubaki kwenye mitandao ya kijamii.Nimejaribu kuitafuta kwenye tiktok sijaiona.Mimi sina wechat na telegram.Kama unayo na unaelewa kiarabu itafute kule.habari ndeeefu hata picha ya kifaru hakuna??
Nilichoona ni huyu jamaa hapo chini anazungumzia mgaragazo mwengine kama ule kule Gaza wa siku ya jana. Nadhani akiwa ameshuhudia.
Soma na ikiwa hufahamu kiarabu tafuta mtu akufasirie.