Katika hatua ya pili kupambana na Hamas hapo juzi kumbe IDF imegaragazwa Gaza

We fala kweli kweli, wayahudi sahii Gaza washamaliza wanaelekea Lebanon na Iran.
Hapa live milio inasikika vipigo vinaendelea mapangoni.
We na matako yako unaleta ushabiki km wa mpira hapa.
Jamaa wako mbele huko,Iran,Lebanon, Syria kazi inaendelea.
 
Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.

Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa kimoja baada kingine. Mwishowe vilivyotangulia ikabidi vipindishe kurudi vilikotoka.

Vifaru hivyo navyo havikuweza kuvuka popote vikaishia kuungua chini ya mitende. Hata hivyo vidio zimekaa vizuri na mazingira yote ni ya mpakani mwa Gaza na Israel.

Hivyo vifaru sijui ni matoleo gani lakini vilionekana vingine vikiunguzwa kwa kombora moja na vyengine vikirudiswa kwa moto mwengine kutokea juu huku ndege wakubwa wakishangilia.

Kipigo hicho lazima ndicho kilichoipa hasira Israel kwa uamuzi wa Ellon Musk kuwaunganisha watu wa Gaza na star linki yake.

Baada ya mpambano huowa hapo juzi, jana waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema "The war in Gaza will be long and difficult".
1698589676600.png
 
USHAFUNGUA UZI MWINGINE WA KUJIFARIJI ALWAZ 🤣🤣🤣🤣
Duuh waarabu mna maneno🤣🤣🤣
 
Wafia dini na gubu moyoni. Dunia inahangaika namna ya kuinusuru gaza mtu anazungumzia kuungua vifaru!!! Vichwa vingine sijui Mungu alijaza magodoro hata sielewi.
 
We fala kweli kweli, wayahudi sahii Gaza washamaliza wanaelekea Lebanon na Iran.
Hapa live milio inasikika vipigo vinaendelea mapangoni.
We na matako yako unaleta ushabiki km wa mpira hapa.
Jamaa wako mbele huko,Iran,Lebanon, Syria kazi inaendelea.
 
Attachments

  • 1deb1901-cf38-4603-8853-02b165933115.jpeg
    1deb1901-cf38-4603-8853-02b165933115.jpeg
    63 KB · Views: 1
Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.

Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa kimoja baada kingine. Mwishowe vilivyotangulia ikabidi vipindishe kurudi vilikotoka.

Vifaru hivyo navyo havikuweza kuvuka popote vikaishia kuungua chini ya mitende. Hata hivyo vidio zimekaa vizuri na mazingira yote ni ya mpakani mwa Gaza na Israel.

Hivyo vifaru sijui ni matoleo gani lakini vilionekana vingine vikiunguzwa kwa kombora moja na vyengine vikirudiswa kwa moto mwengine kutokea juu huku ndege wakubwa wakishangilia.

Kipigo hicho lazima ndicho kilichoipa hasira Israel kwa uamuzi wa Ellon Musk kuwaunganisha watu wa Gaza na star linki yake.

Baada ya mpambano huowa hapo juzi, jana waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema "The war in Gaza will be long and difficult".
Ustaadh unaangaika bure, Waislam sijui mmeshindwa na Gaza tayari mmepoteza, leo jiandaeni kuombeleza zaidi make hadi sasa tayari mmeshapewa warning zaidi ya mara tano Al Quds Hsp inabomolewa leo

Ila naona utaki kusema ukweli unaficha hivyo videos zako ziko wapi, chanel yenu kuu ambayo iko Gaza ni Aljazeera hawana hata hizo videos zako hizo.

Sema ukweli wako hali ni mbaya, raia na hamas naona wameweka kambi na kupanga ambulances nje ya Al Quds Hsp ili kuzuia IDF kuibomoa, mabomu hadi sasa yasharindima close to hospital watu wamechanganyikiwa

Tuone kama IDF itatishwa na raia hao kubomoa al quds, nenda ww ukaongeze idadi pale
 
Msemaji wa hamas, anashangaa na kuwalaani nchi za kiarabu kutokufanya hamsha hamsha katika hii vita.
Wakati wanalianzisha hili sakata, inawezekana walidanganywa wataungwa mkono na nchi za kiarabu.
Kwa mitambo inayoshushwa pale Israeli, sidhani kama kuna muarabu yeyote atakayesogeza pua, zaidi ya uturuki kupiga piga kelele tu badala ya kufanya vitendo.
 
Mambo mengine yanahitaji busara; ardhi itakupeleka wapi, utazikwa nayo? Nashangaa watu wanaogombania ardhi, sijui mipaka mpaka kujitoa uhai; kati ya ardhi na uhai kipi chenye thamani zaidi?​
Ngoja hcho kibanda chako unachoita nyumba Yako..siku Jiran Yako akichukue na kusema ni eneo lake hvo ww ondoka utajua pa kwenda...then tuone kama utafungasha virago na watoto wako pasipo kupambania eneo lako.
 
Migogoro ya ardhi inatakiwa isuhluhishwe kwa busara ya hali ya juu; anayeng'ang'ania ardhi atatakiwa afanyiwe ushauri wa kielimu ili ajue ardhi kwake si kitu zaidi ya uhai wake, ili muweze kufikia muafaka sahihi.​
 
Ustaadh unaangaika bure, Waislam sijui mmeshindwa na Gaza tayari mmepoteza, leo jiandaeni kuombeleza zaidi make hadi sasa tayari mmeshapewa warning zaidi ya mara tano Al Quds Hsp inabomolewa leo

Ila naona utaki kusema ukweli unaficha hivyo videos zako ziko wapi, chanel yenu kuu ambayo iko Gaza ni Aljazeera hawana hata hizo videos zako hizo.

Sema ukweli wako hali ni mbaya, raia na hamas naona wameweka kambi na kupanga ambulances nje ya Al Quds Hsp ili kuzuia IDF kuibomoa, mabomu hadi sasa yasharindima close to hospital watu wamechanganyikiwa

Tuone kama IDF itatishwa na raia hao kubomoa al quds, nenda ww ukaongeze idadi pale
Ndio wewe unashangilia kubomolewa kwa hospitali.
Ndio waliobomoa ile ya mwanzo wakaua watu 500 halafu wakajidai sio wao,
Madaktari na raia wa Palestina wala hawaogopi tena kufa kwani hawajui wapi wakimbilie.Wamesema watabaki hapo hapo.Kama wakiuliwa hawatalaumika.
Na kama Israel ikiibomoa hiyo hospitali utaona watakavyoendelea kuwindwa duniani kote.Si Urusi tu mpaka Marekani watakuwa wanatafutwa na watu waislamu,wakristo na binadamu wote wenye ubinadamu.Hapo vita itakuwa hawapigani Hamasi peke yao ,watakuwa wamepata msaada waliokuwa hawakuutegemea.
 
IMG-20231030-WA0007.jpg
IMG-20231030-WA0006.jpg
IMG-20231030-WA0004.jpg
IMG-20231030-WA0003.jpg
IMG-20231030-WA0001.jpg

Kichapo hiki walichochezea wayahudi. Na huyo general wao kashikwa:

Back
Top Bottom