T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Halafu hii mipumbavu ndo ikijibiwa utaikuta na vipedo vyao na makubadhi inalialia na kusumbua watu waisaidie, hasa hii mihamas ya mchambawima
Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.
Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa kimoja baada kingine. Mwishowe vilivyotangulia ikabidi vipindishe kurudi vilikotoka.
Vifaru hivyo navyo havikuweza kuvuka popote vikaishia kuungua chini ya mitende. Hata hivyo vidio zimekaa vizuri na mazingira yote ni ya mpakani mwa Gaza na Israel.
Hivyo vifaru sijui ni matoleo gani lakini vilionekana vingine vikiunguzwa kwa kombora moja na vyengine vikirudiswa kwa moto mwengine kutokea juu huku ndege wakubwa wakishangilia.
Kipigo hicho lazima ndicho kilichoipa hasira Israel kwa uamuzi wa Ellon Musk kuwaunganisha watu wa Gaza na star linki yake.
Baada ya mpambano huowa hapo juzi, jana waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema "The war in Gaza will be long and difficult".
USHAFUNGUA UZI MWINGINE WA KUJIFARIJI ALWAZ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBaada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.
Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa kimoja baada kingine. Mwishowe vilivyotangulia ikabidi vipindishe kurudi vilikotoka.
Vifaru hivyo navyo havikuweza kuvuka popote vikaishia kuungua chini ya mitende. Hata hivyo vidio zimekaa vizuri na mazingira yote ni ya mpakani mwa Gaza na Israel.
Hivyo vifaru sijui ni matoleo gani lakini vilionekana vingine vikiunguzwa kwa kombora moja na vyengine vikirudiswa kwa moto mwengine kutokea juu huku ndege wakubwa wakishangilia.
Kipigo hicho lazima ndicho kilichoipa hasira Israel kwa uamuzi wa Ellon Musk kuwaunganisha watu wa Gaza na star linki yake.
Baada ya mpambano huowa hapo juzi, jana waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema "The war in Gaza will be long and difficult".
Wapi wamepigwa mkuu tuonyeshe???Wamepigwa sana,hamas ni jeshi hasa
We fala kweli kweli, wayahudi sahii Gaza washamaliza wanaelekea Lebanon na Iran.
Hapa live milio inasikika vipigo vinaendelea mapangoni.
We na matako yako unaleta ushabiki km wa mpira hapa.
Jamaa wako mbele huko,Iran,Lebanon, Syria kazi inaendelea.
Video's pics?? Nothing?? Just words!Kichapo wanachopata Hamas kina ushahidi wa picha na vilio vya Wapalestina
View: https://twitter.com/manniefabian/status/1718601695578444002?t=xDuQSu0AnrAtwOXgfYbjMg&s=19
Siku hizi wavaa uchi, wamekuwa marafiki na waislamu?
Ustaadh unaangaika bure, Waislam sijui mmeshindwa na Gaza tayari mmepoteza, leo jiandaeni kuombeleza zaidi make hadi sasa tayari mmeshapewa warning zaidi ya mara tano Al Quds Hsp inabomolewa leoBaada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.
Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa kimoja baada kingine. Mwishowe vilivyotangulia ikabidi vipindishe kurudi vilikotoka.
Vifaru hivyo navyo havikuweza kuvuka popote vikaishia kuungua chini ya mitende. Hata hivyo vidio zimekaa vizuri na mazingira yote ni ya mpakani mwa Gaza na Israel.
Hivyo vifaru sijui ni matoleo gani lakini vilionekana vingine vikiunguzwa kwa kombora moja na vyengine vikirudiswa kwa moto mwengine kutokea juu huku ndege wakubwa wakishangilia.
Kipigo hicho lazima ndicho kilichoipa hasira Israel kwa uamuzi wa Ellon Musk kuwaunganisha watu wa Gaza na star linki yake.
Baada ya mpambano huowa hapo juzi, jana waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema "The war in Gaza will be long and difficult".
Ngoja hcho kibanda chako unachoita nyumba Yako..siku Jiran Yako akichukue na kusema ni eneo lake hvo ww ondoka utajua pa kwenda...then tuone kama utafungasha virago na watoto wako pasipo kupambania eneo lako.Mambo mengine yanahitaji busara; ardhi itakupeleka wapi, utazikwa nayo? Nashangaa watu wanaogombania ardhi, sijui mipaka mpaka kujitoa uhai; kati ya ardhi na uhai kipi chenye thamani zaidi?
Ngoja hcho kibanda chako unachoita nyumba Yako..siku Jiran Yako akichukue na kusema ni eneo lake hvo ww ondoka utajua pa kwenda...then tuone kama utafungasha virago na watoto wako pasipo kupambania eneo lako.
Ndio wewe unashangilia kubomolewa kwa hospitali.Ustaadh unaangaika bure, Waislam sijui mmeshindwa na Gaza tayari mmepoteza, leo jiandaeni kuombeleza zaidi make hadi sasa tayari mmeshapewa warning zaidi ya mara tano Al Quds Hsp inabomolewa leo
Ila naona utaki kusema ukweli unaficha hivyo videos zako ziko wapi, chanel yenu kuu ambayo iko Gaza ni Aljazeera hawana hata hizo videos zako hizo.
Sema ukweli wako hali ni mbaya, raia na hamas naona wameweka kambi na kupanga ambulances nje ya Al Quds Hsp ili kuzuia IDF kuibomoa, mabomu hadi sasa yasharindima close to hospital watu wamechanganyikiwa
Tuone kama IDF itatishwa na raia hao kubomoa al quds, nenda ww ukaongeze idadi pale
Mwanamgambo wa Israel amekalishwaMwanzo 12:2-3
God Bless Israel
[emoji1134][emoji1134][emoji1134]๐ฎ