Katika hii mitego minne Simba waliyoitega, je! Al Masry wataitegua yote?

Hawapati hata goal moja, hiyo mechi Simba hachezi. Al masry tu, anacheza na pia na sisi yanga hatuwezi kukubali Simba afuzu, tutapeleka member wa benchinla ufundi akasaidiane na kocha wa almasry kuwamaliza makolo
 
SIMBA WAONGEZE QUALITY PLAYER KWENYE KIKOSI CHAO

WATAFUTE WACHEZAJI WA KUCHEZA WALAU FAINALI SIO HAO MAGHALASA WALIOPO LEO.

WATATESEKA NA VIKAO.
WAZEE.
LAWAMA
HAMASA.
BILA QUALITY =0
 
Matokeo ni simba 2-1!!
Simba hana timu yakumfunga muarabu bao 3 bila kuruhusu gori.
 
Mkuu katika mitego yote Mwarabu kanasa na hawezi itegua kifup kazi imekwisha, Mnyama Nusu fainali ileee
 
Hawapati hata goal moja, hiyo mechi Simba hachezi. Al masry tu, anacheza na pia na sisi yanga hatuwezi kukubali Simba afuzu, tutapeleka member wa benchinla ufundi akasaidiane na kocha wa almasry kuwamaliza makolo
Aaaahaaaa

Ubaya ubwela
 
Mbona umeandika kama.unakimbizwa? Fafanua hio mitego basi hata..usituchoshe
 
Hawapati hata goal moja, hiyo mechi Simba hachezi. Al masry tu, anacheza na pia na sisi yanga hatuwezi kukubali Simba afuzu, tutapeleka member wa benchinla ufundi akasaidiane na kocha wa almasry kuwamaliza makolo
Aaaaah kumbe, je mkitolewa?!
 
Hawapati hata goal moja, hiyo mechi Simba hachezi. Al masry tu, anacheza na pia na sisi yanga hatuwezi kukubali Simba afuzu, tutapeleka member wa benchinla ufundi akasaidiane na kocha wa almasry kuwamaliza makolo
Tutawapa Al Masry kocha Mourinho Edna wa Yanga Princess, atawaonesha wa kukaba ni Mpanzu, Kagoma na Kibu simba kwisha habari yao, wachezaji wengine wa kiwango cha championship
 
Back
Top Bottom