Katika hili la corona wapinzani wanapoteza credit

Mpumbavu mwingine huyu hapa. Kukosa posho kusikufanye uwasaliti wananchi
 
jamaa kaeleza hoja zake clearly kabisa,uliposema jamaa hana akili na kwamba ni kilaza nikajua utamalizia kwa kutoa hoja mbadala na ungeonesha mawazo yako unayodai ni zao la thinking out of the box,badala yake wewe ndo umethibitisha ukilaza wako,una kwama wapi shangazi???
 
Nimeishia hapo kwenye ....

"Kwani Bobi Wine anaipinga serikali kuhusu CORONA"

Nimegundua mleta thread ni kichwa mavi.
nadhani sababu ni kwamba jamaa ameeleza hoja nzito sana ambazo kimsingi hupendi kuzisikia wala kuzisoma,ukikubali itikadi (ideology) itawale akili yako huwezi kuwa free hata siku moja kiakili kwa sababu utakuwa mtumwa wa mawazo na fikira zako,hutafikiria vitu badala yake utakuwa unataka kusikia yale unayoyapenda tu,jikomboe hutajuta,,,,,,, kupenda kupita kiasi hupunguza uwezo wa kufikiri
 
Upinzani umekosa uongozi Tangu Slaa aondoke, umebaki utoto na kutafuta sympathy toka Magharibi. Octoba 2020 CDM itafikia Mwisho kuwa chama kikuu cha Upizani na Mbowe atakuwa kama Mrema.

Kuwapenda na kuwathamini WAPIGA KURA ni pamoja na KUWAONESHA njia SAHIHI za kujikinga na janga la corona ikiwemo kujitenga kama una mashaka na afya yako huo ndiyo UPENDO MKUU KWA WAPIGA KURA PAMOJA NA WANAOKUZUNGUKA.
 
U
Umenena muungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…