Katika hili MO anatuingizia Siasa kwenye Simba SC yetu. Tusiogope kumdhibiti

Nyinyi paka fc, mdosi amewazidi akili, mmeuza timu kwa kipande cha kioo kama mwanachama wenu na babu yenu Chief Mangungu alivyouza Tanganyika
 
Wewe piga kelele mwenzio ana hela na anaisaidia timu, nakushauri nenda kalipe wachezaji mishahara, toa pesa ya usajili halafu ndio uanzishe hizo kelele zako la sivyo hakusikilizi mtu kama utakuwa na mikelele bila hela.
Nakuunga mkono, halafu huyu mtoa post ni vyura ltd.
Atoe upuuzi wake hapa.
 
Reactions: Tui
KWANZA NIANZE KUDECLARE INTEREST MIMI NI SHABIKI WA YANGA..
Ila nataka kwanza kujua kama umewahi kufikiria faida anayoingiza kupitia matangazo ya biashara zake? Lazima WaTZ tutumie akili zetu vizuri. MO hana matangazo mengi kwenye TV na Radio au hata magazeti zaidi ametumia loop hole ya ujinga wa WATZ kwa kujifanya mwekezaji na mmiliki wa Club huku akitumia Jina la Club kutangaza biashara zake Worldwide. Ni dharau kusema anatoa Ruzuku tu hizo Bil 20 bado na wanaoulizia ni wenye chokochoko, yule mzee KILOMONI naamini sasa alikuwa nyuma ya watu wenye akili sana. Unajua ndio maana Mo alitumia nguvu kubwa kumtumia Makonda ili kuhalalisha ayafanyalo kuonesha Serikali iko upande wake. Tz hatuna utamaduni wa kuonesha FINANCIAL STATEMENTS ZETU ZA HIZI CLUBS, UNAPOONESHA HIVYO VITABU ndio unaona kabisa MO kaingiza sh ngapi kwa mwaka husika, its SURPLUS or DEFICIT, Lazima mjue Club assets and Liabilities ili kuweza kuona mwanga wa club huko mbele. Ukute club imeingia kwenye mkopo mkubwa bila wanachama walio wengi kujua. Timu inabidi ilipe mishahara yenyewe na sio mtu, mtu makini hawezi ajiriwa kwenye hizo clubs maana unalipwa na mtu binafsi ambaye anaweza chukizwa na kitu ukakosa stahiki zako. Rejea miaka ya nyuma SIMBA ilileta kocha kutoka Al Ahly akakataa kufanya kazi kisa simba haina tu bank statements ilikuwa inamtegemea Azim dewji kulipa mishahara. Lazima tutanue akili zetu, TANZANIA KUNA WAPUMBAVU WENGI MNO YES NI UKWELI MCHUNGU WATZ WENGI SISI NI WAPUMBAVU NA TUNATUMIA USHABIKI BADALA YA AKILI KWENYE MAMBO MENGI MNO. NIMEONGEA KAMA MTU WA MAENDELEO NA SIO KAMA SHABIKI.
Kama hapo hujaelewa haina shida.
 
Kama umemsikiliza kwa makini hizo bilioni tatu anazitoa kwa mapenzi yake na simba kama mshabiki mwenye uwezo wa kufanya hivyo na ni nje kabisa ya 20 billions.....tafuta maana ya neno ruzuku itakusaidia sana
Maana ya ruzuku itasaidia kuweka chakula mezani? Italipia pango la chumba sebule huko buza?
 
Sasa ubaya uko wapi?
20b ipo kama mkataba halafu faida ya hiyo 20b bado inarudi klabuni,,, sasa baya hapo liko wapi?[emoji2369]

Uto hebu jibu swali.
 
Mo anajua kula na vipofu huu msim wa Tatu toka moo kajiunga na simba ivyo Alisha toa Bilion 9 bado Bilion 11 swali anazitoa kwa mpango upi asije kusema baadae kua ni hela alizo kua anatumia kusajili na kulipa mishahara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanashindwa kunielewa.

Hicho ndicho kinachonitatizo. Baada ya miaka 7 atakuja kusema kuwa mbona nimekuwa nimewapa bilion 3 kila mwaka. wengi watakosa la kumhoji.
 
Kwani kabla ya moo kuingia simba alikuwa hauzi biashara zake?..
Kwani kufanya matangazo kupitia simba ndo Biashara zake kununuliwa?.
ebu simba nao wafanye matangazo kupitia brand yao nao wauze bidhaa alafu tuone watapata shilingi ngapi?.
Zinazouzwa ni bidhaa za MOO sio bidhaa za simba..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Moo anauza brand yake .
Sio brand ya simba.
Ingekuwa brand ya simba inauzika leo tusingemtegemea moo .
Ebu angalia pale yanga unaweza kuniambia wale GSM PALE YANGA ni wawekezaji au wana wasaidia yanga?.
Hizi brand Za simba na yanga zingekuwa ndo zinauzika wangekuwa wanahangaika kutafuta watu wa kuwasaidia?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mtu pekee aliekuwa anahoji ni mzee Kilomoni ambaye kwasasa Muddy kwakutumia pesa kampelekea difenda la polisi kumziba mdomo
 
Umenena vyema kabisa, naamini hata mleta mada kama ni simba (japo nina mashaka na ushabiki wake) hajawahi kununua hata jezi ya team kuchangia mapato.
 
Alafu anakwambia moo anatangaza biashara zake anapata faida..
Sasa na nyie wenye brand yenu si mtangaze biashara zenu mpate faida kama mnaona ni rahisi
Umenena vyema kabisa, naamini hata mleta mada kama ni simba (japo nina mashaka na ushabiki wake) hajawahi kununua hata jezi ya team kuchangia mapato.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni mshabiki wa Uto,Wapagazi FC anayejifanya kuwasemea Mabingwa FC...Sasa raia wamemstukia
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…