Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono, halafu huyu mtoa post ni vyura ltd.Wewe piga kelele mwenzio ana hela na anaisaidia timu, nakushauri nenda kalipe wachezaji mishahara, toa pesa ya usajili halafu ndio uanzishe hizo kelele zako la sivyo hakusikilizi mtu kama utakuwa na mikelele bila hela.
KWANZA NIANZE KUDECLARE INTEREST MIMI NI SHABIKI WA YANGA..Mimi nitamlaumu moo wachezaji wasipolipwa mishahara na wafanyakazi kazi.
Ila kwa sasa yupo sawa.
Aendeshe timu.
Mimi ni shabiki wa simba lakini hata siku moja sijawahi kununua jezi ya simba kuchangia timu.
Alafu leo nije kumlaumu mtu anayetoa mabilioni yake kunijengea timu ninayoishabikia si nitakuwa sina akili?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Maana ya ruzuku itasaidia kuweka chakula mezani? Italipia pango la chumba sebule huko buza?Kama umemsikiliza kwa makini hizo bilioni tatu anazitoa kwa mapenzi yake na simba kama mshabiki mwenye uwezo wa kufanya hivyo na ni nje kabisa ya 20 billions.....tafuta maana ya neno ruzuku itakusaidia sana
Sasa ubaya uko wapi?Mo anatupiga pigo la kisayansi mkuu.
inabidi wanachama na viongozi tuamke.
Pesa ambayo alitakiwa aiingize klabuni kwa ajili ya uwekezaji kwenye miundo mbinu yeye ameenda iweka kwenye bond coupon mbayo faiya ya hiyo bond kwa mwaka ni bilion 3. ambayo mwisho wa siku anaitoa kwa klabu kama ruzuku.
In reality hakuna anachofanya zaidi ya kulipa mishahara na kununua wachezaji.
Mo anajua kula na vipofu huu msim wa Tatu toka moo kajiunga na simba ivyo Alisha toa Bilion 9 bado Bilion 11 swali anazitoa kwa mpango upi asije kusema baadae kua ni hela alizo kua anatumia kusajili na kulipa mishahara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa kama sehemu ya umiliki wa Klabu yetu. Mpaka sasa Mo ajaitoa hiyo pesa yote, huku akitoa majibu mepesi mepesi kuwa pesa hatoitoa yote kwa sasa na badala yake atatoa bilioni 3 kila msimu.
Kilichonishangaza zaidi ni kumsikia akilalamika kuwa kuna watu ndani ya Simba wana chokochoko. Yaani wanachama tunaanzaje kuwa na chokochoko kwa kuhoji masuala ya msingi?
Mategemeo yetu mpaka sasa tuwe tumeanza kujenga academy ya Simba, cha kushangaza kwenye press akawa anazungumzia habari ya kutufita vipaji mikoani. Sasa hivyo vipaji vitaenda kucheza wapi? Mchangani?
Ni muda sasa umefika viongozi wa klabu yangu tuweke kikao ili tujitafakari na kujadiri kwa kina malengo yetu kama klabu. Huu sio muda wa wanasiasa kufanya siasa zao klabu ili hali wanachama wanataka kuona maendeleo ya kweli.
Ninaamini mimi ni mmoja wa wachache niliyepata ujasiri wa kujitokeza na kuzungumza siuala hili.
Watu wanashindwa kunielewa.Mo anajua kula na vipofu huu msim wa Tatu toka moo kajiunga na simba ivyo Alisha toa Bilion 9 bado Bilion 11 swali anazitoa kwa mpango upi asije kusema baadae kua ni hela alizo kua anatumia kusajili na kulipa mishahara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KWANZA NIANZE KUDECLARE INTEREST MIMI NI SHABIKI WA YANGA..
Ila nataka kwanza kujua kama umewahi kufikiria faida anayoingiza kupitia matangazo ya biashara zake? Lazima WaTZ tutumie akili zetu vizuri. MO hana matangazo mengi kwenye TV na Radio au hata magazeti zaidi ametumia loop hole ya ujinga wa WATZ kwa kujifanya mwekezaji na mmiliki wa Club huku akitumia Jina la Club kutangaza biashara zake Worldwide. Ni dharau kusema anatoa Ruzuku tu hizo Bil 20 bado na wanaoulizia ni wenye chokochoko, yule mzee KILOMONI naamini sasa alikuwa nyuma ya watu wenye akili sana. Unajua ndio maana Mo alitumia nguvu kubwa kumtumia Makonda ili kuhalalisha ayafanyalo kuonesha Serikali iko upande wake. Tz hatuna utamaduni wa kuonesha FINANCIAL STATEMENTS ZETU ZA HIZI CLUBS, UNAPOONESHA HIVYO VITABU ndio unaona kabisa MO kaingiza sh ngapi kwa mwaka husika, its SURPLUS or DEFICIT, Lazima mjue Club assets and Liabilities ili kuweza kuona mwanga wa club huko mbele. Ukute club imeingia kwenye mkopo mkubwa bila wanachama walio wengi kujua. Timu inabidi ilipe mishahara yenyewe na sio mtu, mtu makini hawezi ajiriwa kwenye hizo clubs maana unalipwa na mtu binafsi ambaye anaweza chukizwa na kitu ukakosa stahiki zako. Rejea miaka ya nyuma SIMBA ilileta kocha kutoka Al Ahly akakataa kufanya kazi kisa simba haina tu bank statements ilikuwa inamtegemea Azim dewji kulipa mishahara. Lazima tutanue akili zetu, TANZANIA KUNA WAPUMBAVU WENGI MNO YES NI UKWELI MCHUNGU WATZ WENGI SISI NI WAPUMBAVU NA TUNATUMIA USHABIKI BADALA YA AKILI KWENYE MAMBO MENGI MNO. NIMEONGEA KAMA MTU WA MAENDELEO NA SIO KAMA SHABIKI.
Kama hapo hujaelewa haina shida.

tusimvuruge ,,tusimvuruge jamani.
Simba imetulia na inafanya vizuri sanaa
kikubwa tukiwafumua Yanga inatosha mambo ya pesa ya nini sasa hiyo pesa?
Mimi nitamlaumu moo wachezaji wasipolipwa mishahara na wafanyakazi kazi.
Ila kwa sasa yupo sawa.
Aendeshe timu.
Mimi ni shabiki wa simba lakini hata siku moja sijawahi kununua jezi ya simba kuchangia timu.
Alafu leo nije kumlaumu mtu anayetoa mabilioni yake kunijengea timu ninayoishabikia si nitakuwa sina akili?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mtu pekee aliekuwa anahoji ni mzee Kilomoni ambaye kwasasa Muddy kwakutumia pesa kampelekea difenda la polisi kumziba mdomo
Umenena vyema kabisa, naamini hata mleta mada kama ni simba (japo nina mashaka na ushabiki wake) hajawahi kununua hata jezi ya team kuchangia mapato.
Mdhamini
Mdhamini