Katika hili nakubaliana na Chadema, Ushujaa ni kufia vitani ukiwa Jeshini au mhudumu wa afya akiwa hospitali anatibu lakini siyo bungeni!

hahahaaaa..... kuna shujaa mmoja kajibanza kule Chato - aitwa nani vile??!!
 
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October

Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani

Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
kuna msaliti # 1 Tanzania amejibanza kule Chato.
huyo ndiye tutakula naye sahani moja October!
 
Heri yako wewe Yohana umefunguliwa macho na kuliona jambo hilo kwa undani bwashee, kwa kuwa ndani ya gonjwa hiliv la COVID-19 hakuna siasa wala mbwembe, na ukijipendekeza tu linakuzinguwa mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera bwashee kwa kubatizwa na kuzaliwa upya! Huko ulikokuwa ulikuwa umefungwa macho. Sasa unaona
 
Ni uhujumu uchumi kuendelea kulipana posho za vikao vya bunge la bajeti, ikijulikana wazi kabisa kwamba baada ya Corona itabidi bajeti yote ifumuliwe na kusukwa upya! Things are no longer the same!
 
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October

Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani

Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Wananchi wanajua kuwa CDM wamewatetea kwa mengi na katika mengi... Wananchi wanajua kuwa CDM wanajali uhai na utu wa kila raia hapa nchini
Hamjui mnajua lakini ukweli ni kuwa hii Covid-19 imewashushia credibility!!
 
Retired unaelewa maana ya SATIRE?
 
Kuna siku speaker alisema kuna wabunge hawataambulia hata mia baada ya kumaliza muda wao kwa kuwa ni wadeni wake.
NOYE: Johnthebaptist umandika ukweli mpaka nikahisi akaunti yako imedukuliwa.
Naamini nimeeleweka.
Kuna watu walikuwa wanapiga kelele, wakatishiwa wao na shangazi zao kuvunjwa viuno; sikumbuki vizuri kama waliendelea kupiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…