Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
System hii ya chini ya ccm ndio chadema mnaisikiliza?
Basi hatuna upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huko kwenye system unadhani wote wanaendeleza siasa za tumbo za kiccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
System hii ya chini ya ccm ndio chadema mnaisikiliza?
Basi hatuna upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaa..... kuna shujaa mmoja kajibanza kule Chato - aitwa nani vile??!!Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
kuna msaliti # 1 Tanzania amejibanza kule Chato.Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Hongera bwashee kwa kubatizwa na kuzaliwa upya! Huko ulikokuwa ulikuwa umefungwa macho. Sasa unaonaHeri yako wewe Yohana umefunguliwa macho na kuliona jambo hilo kwa undani bwashee, kwa kuwa ndani ya gonjwa hiliv la COVID-19 hakuna siasa wala mbwembe, na ukijipendekeza tu linakuzinguwa mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani watu wanakufa bahati mbaya na magonjwa mengine nyie mnasema ni Covid -19? Sio kila homa ni malaria.Tutaongea lugha moja
Sasa homa ya maralia ndio inafanya watu wajifiche huko BiharamuloYaani watu wanakufa bahati mbaya na magonjwa mengine nyie mnasema ni Covid -19? Sio kila homa ni malaria.
Hivi wewe hata maana ya usaliti unaijua.Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Ni uhujumu uchumi kuendelea kulipana posho za vikao vya bunge la bajeti, ikijulikana wazi kabisa kwamba baada ya Corona itabidi bajeti yote ifumuliwe na kusukwa upya! Things are no longer the same!Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Wananchi wanajua kuwa CDM wamewatetea kwa mengi na katika mengi... Wananchi wanajua kuwa CDM wanajali uhai na utu wa kila raia hapa nchiniChadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Retired unaelewa maana ya SATIRE?kama inatoka rohoni, leo nahamia CCM! Au tuanzishe chama chetu.
johnthebaptist , hata common sense dictates that! kama MKUU WA NCHI KAJICHIMBIA kijijini, wewe nani uwe na nyongo ya kuhimili kifo wakati nchi inaweza kuendeshwa bila kupanga bajeti? Mbona mtu fulani anachota ananunua mandege bila bunge?
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]System hii ya chini ya ccm ndio chadema mnaisikiliza?
Basi hatuna upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku speaker alisema kuna wabunge hawataambulia hata mia baada ya kumaliza muda wao kwa kuwa ni wadeni wake.Ni ujinga tuu Mtu kufia bungeni kama sio uroho wa posho ndio utawatoa roho hawa vihiyo. Wakati Pesa za manunuzi ya ndege na ujenzi wa uwanja wa ndege Chato hazikupitishwa na Bunge na serikali imetumia pesa hizo bira ridhaa ya bunge kuna haja gani wew ukafia huko?
Hakuna Mwananchi aliye mtuma mbunge akafie Bungeni. Sisi wananchi wenyew tunaepuka mikusanyiko isiyo ya lazima. Bunge linaweza kufanya vikao kwa mitandao au hata kuahirishwa mpka wakati usalama wa Wabunge unapokuwa mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app