Katika hili nakubaliana na Chadema, Ushujaa ni kufia vitani ukiwa Jeshini au mhudumu wa afya akiwa hospitali anatibu lakini siyo bungeni!

Katika hili nakubaliana na Chadema, Ushujaa ni kufia vitani ukiwa Jeshini au mhudumu wa afya akiwa hospitali anatibu lakini siyo bungeni!

Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
hahahaaaa..... kuna shujaa mmoja kajibanza kule Chato - aitwa nani vile??!!
 
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October

Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani

Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
kuna msaliti # 1 Tanzania amejibanza kule Chato.
huyo ndiye tutakula naye sahani moja October!
 
Heri yako wewe Yohana umefunguliwa macho na kuliona jambo hilo kwa undani bwashee, kwa kuwa ndani ya gonjwa hiliv la COVID-19 hakuna siasa wala mbwembe, na ukijipendekeza tu linakuzinguwa mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera bwashee kwa kubatizwa na kuzaliwa upya! Huko ulikokuwa ulikuwa umefungwa macho. Sasa unaona
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
Ni uhujumu uchumi kuendelea kulipana posho za vikao vya bunge la bajeti, ikijulikana wazi kabisa kwamba baada ya Corona itabidi bajeti yote ifumuliwe na kusukwa upya! Things are no longer the same!
 
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October

Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani

Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Wananchi wanajua kuwa CDM wamewatetea kwa mengi na katika mengi... Wananchi wanajua kuwa CDM wanajali uhai na utu wa kila raia hapa nchini
Hamjui mnajua lakini ukweli ni kuwa hii Covid-19 imewashushia credibility!!
 
kama inatoka rohoni, leo nahamia CCM! Au tuanzishe chama chetu.
johnthebaptist , hata common sense dictates that! kama MKUU WA NCHI KAJICHIMBIA kijijini, wewe nani uwe na nyongo ya kuhimili kifo wakati nchi inaweza kuendeshwa bila kupanga bajeti? Mbona mtu fulani anachota ananunua mandege bila bunge?
Retired unaelewa maana ya SATIRE?
 
Ni ujinga tuu Mtu kufia bungeni kama sio uroho wa posho ndio utawatoa roho hawa vihiyo. Wakati Pesa za manunuzi ya ndege na ujenzi wa uwanja wa ndege Chato hazikupitishwa na Bunge na serikali imetumia pesa hizo bira ridhaa ya bunge kuna haja gani wew ukafia huko?

Hakuna Mwananchi aliye mtuma mbunge akafie Bungeni. Sisi wananchi wenyew tunaepuka mikusanyiko isiyo ya lazima. Bunge linaweza kufanya vikao kwa mitandao au hata kuahirishwa mpka wakati usalama wa Wabunge unapokuwa mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku speaker alisema kuna wabunge hawataambulia hata mia baada ya kumaliza muda wao kwa kuwa ni wadeni wake.
NOYE: Johnthebaptist umandika ukweli mpaka nikahisi akaunti yako imedukuliwa.
Naamini nimeeleweka.
Kuna watu walikuwa wanapiga kelele, wakatishiwa wao na shangazi zao kuvunjwa viuno; sikumbuki vizuri kama waliendelea kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom