MTETEZI WA WANYONGE
Member
- May 30, 2014
- 47
- 23
Mkuu siku hizi ukiwa na mali yako kuwa makini na kuwafanyia umafia watu maana na yeye atakufanyia umafia mkubwa zaidi wa kuchoma nyumba yako kwa style ya kama picha ya Cythia Rothrock yaani anailoweka kamba kwenye petrol alafu anaitandaza mpaka kwenye nyumba yako alafu anaipiga kiberiti kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiAisee watu wengine wanaishi kiupole sana. Yaani huyo fundi unatakiwa kumfanyia umafia tu, ndiyo dawa yake. Kama vipi tafuta watoto wa kihuni umuharibu reception kwanza. Yaani mimi mtu hawezi kuniletea uhuni kama huo halafu nikamuacha tu hivi hivi. Hususani kama anajifanya kichwa ngumu kama huyo.
Hapo tayari kulikuwa na mkataba. Alichokifanya huyo fundi ni bleach of contract. Anatakiwa awajibike kwa hilo.
Ni kweli mkuu ila kama noma na iwe noma aisee. Upole wa namna hii mimi siwezi kabisaMkuu siku hizi ukiwa na mali yako kuwa makini na kuwafanyia umafia watu maana na yeye atakufanyia umafia mkubwa zaidi wa kuchoma nyumba yako kwa style ya kama picha ya Cythia Rothrock yaani anailoweka kamba kwenye petrol alafu anaitandaza mpaka kwenye nyumba yako alafu anaipiga kiberiti kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiii