Katika hili Sheria inasemaje ?

Katika hili Sheria inasemaje ?

POLE SANA kwa huo usumbufu ndugu yangu,
Ninachokushauri nenda POLISI kamlipoti huyo tena kituono na hapo kituoni uombe kuonana na MKUU wa kituo.Kwa mtazamo wa kawaidashuyo polisi wa awali inaonesha wamelewana na huyo mdeni wako
 
Aisee watu wengine wanaishi kiupole sana. Yaani huyo fundi unatakiwa kumfanyia umafia tu, ndiyo dawa yake. Kama vipi tafuta watoto wa kihuni umuharibu reception kwanza. Yaani mimi mtu hawezi kuniletea uhuni kama huo halafu nikamuacha tu hivi hivi. Hususani kama anajifanya kichwa ngumu kama huyo.
Mkuu siku hizi ukiwa na mali yako kuwa makini na kuwafanyia umafia watu maana na yeye atakufanyia umafia mkubwa zaidi wa kuchoma nyumba yako kwa style ya kama picha ya Cythia Rothrock yaani anailoweka kamba kwenye petrol alafu anaitandaza mpaka kwenye nyumba yako alafu anaipiga kiberiti kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiii
 
Atawezaje na mimi nina fensi la heka 2!Labda atupe grunet
 
Hapo tayari kulikuwa na mkataba. Alichokifanya huyo fundi ni bleach of contract. Anatakiwa awajibike kwa hilo.

hiyo bleach of contract ndo iliyopelekea asione terms vizuri kwani zilifutika, ila kama aliziona terms na kuingia mkataba basi atakua amefanya breach of contract
 
Mkuu siku hizi ukiwa na mali yako kuwa makini na kuwafanyia umafia watu maana na yeye atakufanyia umafia mkubwa zaidi wa kuchoma nyumba yako kwa style ya kama picha ya Cythia Rothrock yaani anailoweka kamba kwenye petrol alafu anaitandaza mpaka kwenye nyumba yako alafu anaipiga kiberiti kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiii
Ni kweli mkuu ila kama noma na iwe noma aisee. Upole wa namna hii mimi siwezi kabisa
 
Back
Top Bottom